Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

AKAMSALIMIE MWENZIE ANAYENYEA DEBE HUKO SEGERA BASI ASIMSUSE
 
MBOWE hawezi kushinda hii kesi, mama alishaitolea hukumu akihojiwa na BBC SWAHILI
Bujibuji, Rais hajawahi popote kutoa hukumu dhidi ya Mbowe. Au alimhukumu nani unamjua ktk hii kesi? Nilishangaa hata mawakili wa Mbowe kudai hivi tena mahakamani. Ni uthibitisho upi wa kisheria?
 
Ateketee !nani anamteketeza?
Ma ccm mna mambo,nenda kasikilize hotuba ya Aman Karume kwenye kongamano la kumbukizi ya Maaalim Seif Hamad,utajua ccm ilivyo ya hovyo.
 
Huku ndani mawakili Vichwa kule nje mapambano yanaendelea.
 
Hawa wajerumani wanajifanya kimbelembele sana kuwaunga wapinzani wa ccm mkono. Nia ya mabeberu kuvuruga serikali za kimapinduzi na kuweka vibaraka wao kila mahali.
Suburi ni swala la Muda tu. Chadema haina mabomu wala bunduki. Tutawaondoa kwa Mbinu za kidemokrasia bila damu wala maji kumwagika.
 
Huyu Mwamba Tundu Lissu hajawahi kuniangusha.
 
Kuna mijitu ilisema ati Lissu anaumwa hoi - haya sasa ipelekeeni habari.
Ipo siku watasikia Lissu alikuwa segerea na hakuna aliyemwona.

Baafa ya kukoswa koswa zile risasi za ibilisi wa Chati ni dhahiri Lissu anaishi kwa roho na mwili.
 
Anaesema Ccm ipo tz anajidanganya , Kuna watu ipo siku nyuso zao sijui watazificha wapi
 
Huyo mjerumani ndio wafadhili wakuu wa chadema ndio maana Lissu alitetea ushoga.
Ujanja mwingi ila aliponzwa na hiyo issue ya kuutetea ushoga Tanzania hatuutaki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…