Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ndugu mbona umeonesha chuki kubwa kwa hawa watu? Tumwogope Mungu hata kidogo. Hawa ni binadamu kama wengine hata kama hawana hizi Dini zetu. Ni Binadamu wanaostahili kuishi sababu ni Mungu kawapa maisha. Tusiwe na chuki kiasi hicho. Na kesho tutaenda Msikitini na Kanisani. Kwa hali hii tunamuabudu Mungu au Shetani? Why all these?SASA HAPO WAMEZUIA WAPI??UNA UCHUNGU NA WAMASAI BILA SHAKA UMEOLEWA HUKO WEWE
Ukatili wa kutisha huo.Lengo la Unyama huu ni kuhakiksha kwamba Wale Masai wanaoandamana kule Ngorongoro hawapati Chakula ili hatimaye wafe njaa.
View attachment 3075738
Serikali iliyoondoa huduma za Maji, Afya, Elimu, Umeme na kufuta vijiji vyote unapata wapi ujasiri wa kuitetea?Mwongo...
Unafaidika na nini na upotoshaji huu ?!!
Hii ni hatari
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jamaa yako Zebedayo yupo hapo sokoni ananiambia si kweli...Nenda Karatu ujionee maajabu
Nyie ndio wakala wa ccm mnatuibia lazima muondoke.
Ukasuku huo....
- Unyama
- Ila wanazidi kusambaza sumu
- Wanazidi kumharibia zaidi Mwenyekiti wa chama chetu
Mkuu hakuna chawa wa ccm anayemuogopa MunguNdugu mbona umeonesha chuki kubwa kwa hawa watu? Tumwogope Mungu hata kidogo. Hawa ni binadamu kama wengine hata kama hawana hizi Dini zetu. Ni Binadamu wanaostahili kuishi sababu ni Mungu kawapa maisha. Tusiwe na chuki kiasi hicho. Na kesho tutaenda Msikitini na Kanisani. Kwa hali hii tunamuabudu Mungu au Shetani? Why all these?
Nani anaichafua, mie state the fact, kunyima chakula mwanadam by any form hata kwneye uwanja wa vita ni against geneva convetion. Kazisome kaka sijiandikii[emoji44][emoji44][emoji44][emoji16][emoji16][emoji16]
Mnafaidika na nini kuichafua nchi yenu mama Tanzania?!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimekuibia kipi ?!!!Nyie ndio wakala wa ccm mnatuibia lazima muondoke.
Wathubutu waoneWamasai waanze kuwinda Wanyama pori ili wapate Kitoweo kama Serikali inataka kutengeneza Man made FAMINE.
Wasikubali kufa kwa Njaa.
Cha kushangza sana ni hiki, Wamasai hawali nyama poriWamasai waanze kuwinda Wanyama pori ili wapate Kitoweo kama Serikali inataka kutengeneza Man made FAMINE.
Wasikubali kufa kwa Njaa.
Wewe ni mzalendo komredi Imhotep....wewe ni mtu makini ,hao wengine ni wazushi tu kakaWamasai waanze kuwinda Wanyama pori ili wapate Kitoweo kama Serikali inataka kutengeneza Man made FAMINE.
Wasikubali kufa kwa Njaa.
Ngoja nifuatilie taarifa hiyo.Ukatili wa kutisha huo.
Hatari sana, duh,
Lucas Mwashambwa
Je, hawa huku machozi yao ni ya furaha au huzuni?!
Kwanini msiwapulizie sumu tu ili wafe muwe na amaniNaunga mkono hatua ya polisi na serikali juu ya kinachoendelea huko si vyema kutanguliza siasa katika kila jambo;
Dola la Tanzania lina Ngororongo na ndani yake ametoka baba wa binadamu,kamwe hawayafanyi ya wapalestina na waisrael.Kwanini msiwapulizie sumu tu ili wafe muwe na amani
Acha upotoshaji ndugu,Lengo la Unyama huu ni kuhakiksha kwamba Wale Masai wanaoandamana kule Ngorongoro hawapati Chakula ili hatimaye wafe njaa.
View attachment 3075738
Wala hili si jambo jipya kwa yanayofanywa kwa Wamasai wa Ngorongoro, Tayari Serikali ya Tanzania ilishaondoa huduma zote za Jamii ikiwemo kulifutilia mbali eneo hilo
Samia huyo...Lengo la Unyama huu ni kuhakiksha kwamba Wale Masai wanaoandamana kule Ngorongoro hawapati Chakula ili hatimaye wafe njaa.
View attachment 3075738
Wala hili si jambo jipya kwa yanayofanywa kwa Wamasai wa Ngorongoro, Tayari Serikali ya Tanzania ilishaondoa huduma zote za Jamii ikiwemo kulifutilia mbali eneo hilo
Sasa kama ni KWELI chakula kinazuiwa kisiingie Ngorongoro kwa Ndugu zetu Wamasai wewe unafikiri wafanye nini ili wasife kwa njaa?!Wewe ni mzalendo komredi Imhotep....wewe ni mtu makini ,hao wengine ni wazushi tu kaka
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app