Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Hizi ni tuhuma nzito saana; tunasubiri zijibiwe ; Dodoma then Morogoro kesho yake asubuhi ...logistic ipo wapi maana ni mkuu wa Mkoa haendi kokote hovyo hovyo hata akiwa na likizo lazima ijulikane yupo wapi na anafanya nini.
 
Kwa kadri ccm inavyosajiri wachumia tumbo/watu waliofeli shule na hivyo kukosa alternative nyingine zaidi ya kutegemea huruma ndio waishi,ndiyo chama kinavyogeuka kuwa kikundi cha kigaidi
 
Ile V8 ndio alikuwa huko ndani akasimamia Club 84 Kwa nn hamuelewi?
 

Ulitaka wasitoe taarifa ili iweje


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Facts zilitakiwa kutolewa na police mkuu- wanasheria hawafanyi upelelezi- acha kujitoa ufahamu eti kisa ushabiki maandazi
 
Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Wewe unafikiri huyu jamaa zaidi ya kazi ya kuteuliwa anaweza kufanya nini tena? watu wa aina hii ni kama mbwa-ukimwambia kamata anakamata hana muda wa kufikiri-yeye priority yake ni kulinda ugali wake period.
 
Mkuu wewe kwa Tanzania yetu hii unaweza kudhani kuna mtu anaweza kummiminia mwenzie risasi hata moja na mchana kweupe? only kwenye utawala huu labda
 
Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Hana akili kichwani anatumia Masaburi kufikiri sasa anaenda mpaka Dodoma ili ashangilie taarifa akalie kanisani uwongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu kukuunga mkono si lazima watoe matamko kama mnavyofanya wabongo-platform tu hiyo waliyompa kusemea hayo mambo inatosha-but also kunaweza kukawa na underground movement-kwa mfano mimi naamini Serikali hii kupata tena pesa toka nchi za Ulaya na Marekani itabidi itumie nguvu nyingi sana na hata ikipata-itazipata kwa tabu mno na ninaamini itakuwa ikifanya sherehe kila inapopata hata pesa kidogo-Mark my words
 
La muhimu ni kuheshimu mamlaka halali. Ukichemka na kudharau ukubwa wa mamlaka, tegemea maumivu mkuu.

Mamlaka zinazoongoza nchi siku zote hupambana ili ziweze kupata kibali cha wananchi. Mwanasiasa usipoujua ukweli huo na ukaishi kwa kiburi, tegemea lolote lile likupate maishani.
 
HAPPY VALENTINE WOTE MSIO NA WENZA
 
Na wewe uliye madarakani na kuona waweza kuwafanya wengine lolote wakati ukiwa na hayo madaraka tambua kuwa muda wako ukiisha waweza nawe kufanywa lolote.
Kinga iko pale unapotekeleza madaraka yako kikatiba tuu! Utaishi Kwa furaha kama Jk. BM au Jerry Rwallings. Vyinginevyo unaishia kumalizia maisha kwa mateso na fedheha tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naibu Rais Bashite, soma hiyoooo.
 
Tundu lisu is Nyumbu namba one. Ukija lazima ukamatwe. Huna faida kwa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…