At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀😀Sifa moja wapo ya rais ni awe na akili timamu. Pia anayeweza kukunja nne kwa kutumia mguu eidha wa kulia au wa kushoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀😀Sifa moja wapo ya rais ni awe na akili timamu. Pia anayeweza kukunja nne kwa kutumia mguu eidha wa kulia au wa kushoto.
Kwa kadri ccm inavyosajiri wachumia tumbo/watu waliofeli shule na hivyo kukosa alternative nyingine zaidi ya kutegemea huruma ndio waishi,ndiyo chama kinavyogeuka kuwa kikundi cha kigaidi
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Facts zilitakiwa kutolewa na police mkuu- wanasheria hawafanyi upelelezi- acha kujitoa ufahamu eti kisa ushabiki maandaziInasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Wewe unafikiri huyu jamaa zaidi ya kazi ya kuteuliwa anaweza kufanya nini tena? watu wa aina hii ni kama mbwa-ukimwambia kamata anakamata hana muda wa kufikiri-yeye priority yake ni kulinda ugali wake period.Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Mkuu wewe kwa Tanzania yetu hii unaweza kudhani kuna mtu anaweza kummiminia mwenzie risasi hata moja na mchana kweupe? only kwenye utawala huu labdaAjabu ni pale unajijua wewe ni hunted person, najua tayari hunter wapo nyuma yako wanakufuata, unafika nyumbani unakuta usalama wote haupo hustuki tu unaingia. Unafika unapaki na hunters wanapaki na wewe na bado tu hujishtukii ku escape hilo eneo!!!!
Ndio husemwa majanga mengine ni kujitakia na kumpa shetani nafasi akuadhibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili kichwani anatumia Masaburi kufikiri sasa anaenda mpaka Dodoma ili ashangilie taarifa akalie kanisani uwongoLissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Mkuu watu kukuunga mkono si lazima watoe matamko kama mnavyofanya wabongo-platform tu hiyo waliyompa kusemea hayo mambo inatosha-but also kunaweza kukawa na underground movement-kwa mfano mimi naamini Serikali hii kupata tena pesa toka nchi za Ulaya na Marekani itabidi itumie nguvu nyingi sana na hata ikipata-itazipata kwa tabu mno na ninaamini itakuwa ikifanya sherehe kila inapopata hata pesa kidogo-Mark my wordsMkuu muangalie vizuri kwenye hiyo video, amefikia mwisho wa lawama,.. Kila siku naongea humu Lissu ana akili nyingi Sana za darasani Ila za mtaani (Duniani) bure kabisa, ametawaliwa na kitu kwa kizungu inaitwa EGO, hakufunzwa na mama yake atafunzwa na ulimwengu, tangu yupo UK,USA, Germany umewahi ona afisa yoyote wa serikali yoyote huko anatoa tamko lolote kuhusu Lissu???.. Na NYUMBU wapo wanashangilia tu wanamuona HERO kumbe anaharibu siku hadi siku.
La muhimu ni kuheshimu mamlaka halali. Ukichemka na kudharau ukubwa wa mamlaka, tegemea maumivu mkuu.Kama wewe ulivyodanganywa na jiwe
Ungebutuliwa wewe risasi zile usingeandika upupu huu
Huna wazazi huna ndugu huna Kaka mjomba au shemeji
Jaribu kuwaweka hao wapendwa wako kwenye viatu vya Mheshimiwa yes Mheshimiwa Lissu
Muwe na utu
Mumuogope Mungu
Dhuluma ya roho ya mtu ni mbaya sana
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
RC anakwenda Kwa siri sehemu nyingine? Lazima aendalo kufanya ni la siri na illegalKwa hiyo kuna raia yoyote tz hii ambaye haruhusiwi kuwa sehem flan ya tz....kwamba dodoma kuna baadh ya watu hawaruhusiwi kwenda au
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe uliye madarakani na kuona waweza kuwafanya wengine lolote wakati ukiwa na hayo madaraka tambua kuwa muda wako ukiisha waweza nawe kufanywa lolote.La muhimu ni kuheshimu mamlaka halali. Ukichemka na kudharau ukubwa wa mamlaka, tegemea maumivu mkuu.
Mamlaka zinazoongoza nchi siku zote hupambana ili ziweze kupata kibali cha wananchi. Mwanasiasa usipoujua ukweli huo na ukaishi kwa kiburi, tegemea lolote lile likupate maishani.
Na wewe uliye madarakani na kuona waweza kuwafanya wengine lolote wakati ukiwa na hayo madaraka tambua kuwa muda wako ukiisha waweza nawe kufanywa lolote.
Kinga iko pale unapotekeleza madaraka yako kikatiba tuu! Utaishi Kwa furaha kama Jk. BM au Jerry Rwallings. Vyinginevyo unaishia kumalizia maisha kwa mateso na fedheha tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.