Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma


Kwani kuna masharti ya watu kuwepo Dodoma ? Basi kumbe Dodoma nzima iliatakiwa asiwepo mtu siku hiyo kwa kuwa Tundu Lisu atapigwa risasi.Naona hata wale tunaomshabikia Tundu Lisu
tutaanza kumchoka kwa sababu anayoongea hayana mashiko.Dodoma ndiyo makao makuu watu wasije ?
 
Saa nane mchana wa leo.

Mimi si mshabiki wa chama chochote, lakini Mara zote nafsi yangu hutamani mnyonge anyanyuke dhidi ya yule anayemnyonga. Nikimuona Mama akipigwa kinyama chini akishikiliwa na baba Natamani hata Muujiza wa nguvu za ajabu umfike mama aweze kunyanyuka na kumkabili baba asiendelee kumnyonga.
The same kwa Lissu amenyongwa Sana na Hawa viongozi wasio na ubinadamu. Kitendo Cha kushambuliwa na risasi vile huku bado akitakiwa anyamaze kimya asiongelee chochote kuhusu kushambuliwa kwake naona anastahili kushushiwa nguvu za ajabu aweze kuwakabili wote wanaomnyonga.

Kwa Leo niache nisali hivi..

Eewe MwenyeEnzi Mungu wangu Usikie Kuomba Kwangu.
Kama ulivyomnyanyua Yusufu dhidi ya ndugu zake wanyongaji ndivyo nakuomba umnyanyue Mnyonge huyu Lissu dhidi ya wanyongaji Hawa viongozi wa TZ.
Sikia kuomba kwangu Mungu wangu. Amen
 
Mku nachojua Makonda hatakiwi kuwepo America lakini sio Dodoma
 
Sasa maswali ya kujiuliza ni mengi sana, Kama walioenda kumuuwa Lissu walikuwa na Nissan nyeupe Bashite aliiitoa wapi? Kama walioenda kumuuwa Lissu walikuwa na silaha za kivita na magazine zaidi ya moja( kwa mujibu wa idadi ya maganda ya risasi na matundu kwenye gari) walizitoa wapi hizi silaha?Kama walioenda kumuuwa Lissu walikuta geti lipo wazi Nani aliwafungulia geti na kuliacha wazi,na Kama ni walinzi walifungua geti walipolifungua walienda wapi? Na kama walioenda kumuuwa Lissu hawakumshirikisha Bashite,Sasa alienda kufanya nini Dodoma siku ya tukio wakati rais alikuwa Ikulu anapokea ripoti ya makinikia ambapo protocol inamtaka Bashite awe Ikulu. Naje walioenda kumuuwa Lissu ndo waliozitoa camera baada ya tukio? Je Kama angepigwa risasi hizo Lusinde au Ridh 1au Jenista au Prof Lipumba,raisi pamoja na spika wasinge mpigia simu akiwa hospital kumjulia MAENDELEO ya afya yake? Je angepigwa hizi risasi Mbatia akiwa Kilimanjaro na familia yake pamoja na chama chake wakaamua apelekwe Nairobi kwa matibabu bila kwenda Muhimbili,asingelipiwa garama za matibabu? Naje angenyimwa mshahara? Je Mbatia angepoteza ubunge? MASWALI NI MENGI NGOJA NIISHIE HAPA. Asante wajumbe wa Taifa(kigamboni) kwa kura zenu mmeliokoa taifa.
 
Maswali yasiyo saidia, Hata ukiuliza kwa sauti yatakusaidia kitu gani? Utavuna zao gani?
Hapa
Wote mshambuliwaji na mshambuliaji wanafanana.
Huyu anashambulia kwa maneno na yule kwa risasi. Iko Siku moja watabadilishana siraha mwengine maneno
Kama unamaswali unauliza huku wenyewe wanavuna walicjopanda.
maswali yako utavuna nini?
Ukweli ni kwamba hutavuna chochote zaidi ya kuwa shabiki wa Simba na Yanga , huku anaye lipwa ni mchezaji.
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Wewe kwako ni kelele.Iko siku inakuja kwako utajua kama ilikuwa kelele au kilio au muziki wa ala.Mungu akusaidie.Haki huinua taifa bali dhambi ni Aibu wa taifa.Taifa hili litabaki masikini milele.
 
Kwa hiyo
 
Sio kila mwajiriwa anapenda kuona wengine wakionewa,wakibaguliwa au kutotendewa haki Mungu ana watu wake kila mahali.Tambua kuwa tone moja la damu thamani yake ni kubwa.Linapopotea bila sababu,na anayesababisha tone hilo kudondoka bure ukawa ni wewe,basi subiri yatakayofuata.
 
Thank Almighty God. Blessed CCM Committee for the results. The blood speaks
 
Mr. Lisu this is the old wine in a new bottle be careful.
 
kwani wewe ukiwa dodoma hawaruhusiwi watu wengine kwenda dodoma? acha uuni mbowe anajuwa kila kitu kilichotokea nandiyo aliyesuka mpango yote aataja sasa hivi kwenye ushahidi unaoendelea mahakamani we tulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…