πππ kwaiyo mbowe akamtuma yule waziri mstaafu ang'oe CCTV camera?kwani wewe ukiwa dodoma hawaruhusiwi watu wengine kwenda dodoma? acha uuni mbowe anajuwa kila kitu kilichotokea nandiyo aliyesuka mpango yote aataja sasa hivi kwenye ushahidi unaoendelea mahakamani we tulia tu
Sio hisia hicho ndicho kilichompata.Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
ππππ uko poa lakini?Wafukuaji kwenye ubora wenu
Jamaa ni zwezwe na sijui amepata nini baada ya TL kupiga Risasi. Huyo jamaa ni wale wale wachumia tumbo na siku akipigwa jiwe ndio atatoka usingizini.Mbona facts ameziweka wazi tuu! Au wewe unayako mengine? Kama unapingana na aliyoyasema lisu basi toa vigezo vyako vitakavyopingana na maelezo ya.majeruhi mhusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38] unaambiwa kuna Makundi matanoHayo maisha ya kutanga tanga ulaya mnyaturu wa ikungi anaona raha sana sijui anachotaka nini.
Huyu mtu asahauliki sukuma gangWafukuaji kwenye ubora wenu