Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Mbona ata Shaka alikua Dom..na alisema kua Lissu anachonga sana na anajiona kujua sana ila atakutanishwa na kifo...
Hamna kisichokulikana ni muda tu
 
Makonda ni suspect kwenye mazingira ya kihisia tu hakuleti ulazima wa yeye kuwa interrogated.

Watu wa kuwahoji tena ikiwezekana wafanyiwe torturing ni wale walinzi waliokuwa na wajibu wa eneo lote ambalo tukio lilifanyika.

Nani awatorte sasa ajipendi
 
Nani awatorte sasa ajipendi
Kitaratibu wale walinzi ndio wanapaswa kubanwa hasa maana waliaminiwa kulinda eneo lile kwa hiyo kitendo cha wao kuruhusu kitendo kile kitokee ni obvious walikuwa na taarifa na walifanya uzembe wa makusudi.
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
wewe tunakufahamu, wewe ni moja kati ya waliompiga mhe lissu risasi, sasa unaona aibu kubwa ati hamukufanikiwa kumuua, mumetambua ya kuwa kuna mungu binguni
 
Kitaratibu wale walinzi ndio wanapaswa kubanwa hasa maana waliaminiwa kulinda eneo lile kwa hiyo kitendo cha wao kuruhusu kitendo kile kitokee ni obvious walikuwa na taarifa na walifanya uzembe wa makusudi.

Awamu nyingine labda.Ila Kwa Mola wanayo hatia kuruhusu MILANGO shetani atende nia uovu.Wao pia karma haitowaacha Salama mikosi lzm iwaandame
 
Siku baada ya shambulio(tarehe 8/09/2017), alionekana Morogoro anapiga tizi majira ya asubuhi, akinyosha misuli baada ya kazi nzito jana yake...
kuna video ya hao watu waliompiga risasi lissu, na pia iko mawasiliano kati ya makonda na wao, muda wafaka ukifika ushahindi utawekwa wazi, na makonda ataishi segerea maisha yake yote, subiri tu mkuu, niko na video ya tokeo zima kabisa
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
mulitaka awe ako kaburini sasa, lakini mungu ni mkubwa kuliko nyinyi wanafiki wa UVCCM
 
Awamu nyingine labda.Ila Kwa Mola wanayo hatia kuruhusu MILANGO shetani atende nia uovu.Wao pia karma haitowaacha Salama mikosi lzm iwaandame
Hakika ipo siku tu hata kama muhusika akiwa katangulia mbele za haki
 
Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

NO ONE SHOULD WORRY, IN THE FULLNESS OF TIME ALL WILL BE IN OPEN, I HAVE ALL THE INFO OF WHAT TOOK PLACE THAT DAY, WHO WAS INVOVLED, WHO GIVE ORDERS, AND ASLO WHO AND WHEN WERE THE CCTV CAMERAS WERE TAKEN OR SWITCHED OFF, let jiwe leave office, people will be more than schocked, everything is recorded including phone communacations,
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Unajua huu unafiki huu utafanya wengi msione mbingu.

Sijapata ona watu wanafiki kama nyinyi.

Nani anayepaswa kuthibitisha kwa mwenzake aliye sahihi??

Lissu ni Muhanga, usomi ni usomi ,nakam muhanga lazima atape tape iwe ni hisia za kweli au za uongo.

Je Makonda alishawah jitokeza kemea shutuma zakihisia za Lissu??

Je Serikal imeshafanya nn, kumfanya Lissu aamini kua hisia zake ni zauongo??

Mwisho niseme, ACHA KULOPOKA SABABU UNA MDOMO, kuna nyakati unapaswa uunganishe kaubongo kako kakuvukia barabara na mdomo wakokubwa kisha uongee!!

Minafiki kama nyinyi huwa nawaita MAKALIO!!!
 
Au masaburi

The world is not fair ,wahusika wa kupigwa lissu risasi na kuuliwa ben saa8 wanajulikana lakini hawachukuliwi hatua yeyote.
 
Back
Top Bottom