Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
JamiiForums-1651005601.jpeg
 
Kweli kuna watu wana roho mbaya sana. Na huu ulikuwa mpango wa magufuli baada ya kuifagia mifuko yo hifadhi. Sasa watu mishahara midogo na madeni isiyoisha na kupelekea kushindwa kufanya la maana wakati wote wa utumishi.

Unajipanga ukilipwa mafao yako ufanye kitu, kamati ya roho mbaya inakuja na hicho kitu kinachoitwa kikokotoo. Hi inapelekea wastaafu wengi kufa mapema sana baada ya kustafu kwa pressure
 
Wanasiasa hawawezi kuwasaidia,maana wao wanapata mafao Yao kamili na kukopa juu kama tundu na lema wanadiwa Hadi sasa.
 
Kweli kuna watu wana roho mbaya sana. Ma huu ulikuwa mpango wa magufuli baada ya kuifagia mifuko yo hifadhi. Sass watu mishahara midogo na madeni yasiyoisha na kupelekea kushindwa kufanya la maana wakati wote wa utumishi.

Unajipanya ulilipwa mafao yako ufanye kitu, kamati ya roho mbaya inakija na hicho kitu kinachoitwa kikokotoo. Hi inapelekea wastaafu wengi kifa mapema sana baada ya kustafu kea pressure
Umesema kweli tupu! Yule jiwe alikuwa shetwaini mkubwa!
 
siyo mabubu hawana wawakilishi wa kuwasemea.waliowachagua ni makada wa ccm ambao sera yao ni kuwaibia wananchi tu basi.
Mwambie huyo, hajui hata vyama vya wafanyakazi ni bosheni tu ya maccm, shenzi zao!
 
siyo mabubu hawana wawakilishi wa kuwasemea.waliowachagua ni makada wa ccm ambao sera yao ni kuwaibia wananchi tu basi.
Mpaka lini tuta endelea kuwa mazezeta, mabubu, viziwi na waoga katika taifa letu wenyewe dhidi ya watawala [ CCM ] ?
 
siyo mabubu hawana wawakilishi wa kuwasemea.waliowachagua ni makada wa ccm ambao sera yao ni kuwaibia wananchi tu basi.
Wawa ambie hao hao makada wa CCM walio wachagua wawasemee.
 
Back
Top Bottom