kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Nssfwanadaiwa na bank gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nssfwanadaiwa na bank gani?
Msemaji pekee anayeweza kusikilizwa ni Tundu Lissu
Kwa kuongea tu anaweza Mwamba yule. Utalekezaji atafanya RaisKwahilo Lisu hatashindwa maana alisema sinimefika nitaongea si kuongea tu nitaongea kwahio watu mbalimbali kwamakundi mbalimbali tumpe kelo zetu.
Na walipiga makofi sana wakisema Asante RaisShida tuliyonayo wafanyakazi ni aina ya viongozi tunao wachagua , Kwa Nini walikikubali aina hii ya kikokotoo
Kwa akili hizi unaonyesha hujawahi kuwa mtumishi mwenye akiba katika mifuko ya jamii au mwenye kufahamu pension ni nini! Sasa wewe ni nani? Mwizi!Lissu ni mnafki
Kero peke yake haitoshi, support ndio jambo la muhimuKwahilo Lisu hatashindwa maana alisema sinimefika nitaongea si kuongea tu nitaongea kwahio watu mbalimbali kwamakundi mbalimbali tumpe kelo zetu.
Kuongea na watu mbali mbali, wakiwemo wataalamu, ndio njia sahihiKwahilo Lisu hatashindwa maana alisema sinimefika nitaongea si kuongea tu nitaongea kwahio watu mbalimbali kwamakundi mbalimbali tumpe kelo zetu.