Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

Kweli kuna watu wana roho mbaya sana. Na huu ulikuwa mpango wa magufuli baada ya kuifagia mifuko yo hifadhi. Sasa watu mishahara midogo na madeni isiyoisha na kupelekea kushindwa kufanya la maana wakati wote wa utumishi.

Unajipanga ukilipwa mafao yako ufanye kitu, kamati ya roho mbaya inakuja na hicho kitu kinachoitwa kikokotoo. Hi inapelekea wastaafu wengi kufa mapema sana baada ya kustafu kwa pressure
 
NSSF ile sheria ya Fao la kujitoa

Agenda Muhimu sana...
 
Wanasiasa hawawezi kuwasaidia,maana wao wanapata mafao Yao kamili na kukopa juu kama tundu na lema wanadiwa Hadi sasa.
 
Umesema kweli tupu! Yule jiwe alikuwa shetwaini mkubwa!
 
siyo mabubu hawana wawakilishi wa kuwasemea.waliowachagua ni makada wa ccm ambao sera yao ni kuwaibia wananchi tu basi.
Mwambie huyo, hajui hata vyama vya wafanyakazi ni bosheni tu ya maccm, shenzi zao!
 
siyo mabubu hawana wawakilishi wa kuwasemea.waliowachagua ni makada wa ccm ambao sera yao ni kuwaibia wananchi tu basi.
Mpaka lini tuta endelea kuwa mazezeta, mabubu, viziwi na waoga katika taifa letu wenyewe dhidi ya watawala [ CCM ] ?
 
siyo mabubu hawana wawakilishi wa kuwasemea.waliowachagua ni makada wa ccm ambao sera yao ni kuwaibia wananchi tu basi.
Wawa ambie hao hao makada wa CCM walio wachagua wawasemee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…