Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

Kwahilo Lisu hatashindwa maana alisema sinimefika nitaongea si kuongea tu nitaongea kwahio watu mbalimbali kwamakundi mbalimbali tumpe kelo zetu.
 
Kwa kuongea tu anaweza Mwamba yule. Utalekezaji atafanya Rais
 
Kwahilo Lisu hatashindwa maana alisema sinimefika nitaongea si kuongea tu nitaongea kwahio watu mbalimbali kwamakundi mbalimbali tumpe kelo zetu.
Kero peke yake haitoshi, support ndio jambo la muhimu
 
Kwahilo Lisu hatashindwa maana alisema sinimefika nitaongea si kuongea tu nitaongea kwahio watu mbalimbali kwamakundi mbalimbali tumpe kelo zetu.
Kuongea na watu mbali mbali, wakiwemo wataalamu, ndio njia sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…