Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

Dunia nzima inafahamu pia kama chato ipo ndani ya Tanzania... hata afanye kazi chato ama wapi.. mradi yupo Tanzania, anatuhudumia wa Tanzania.. sisi wananchi tunafurahi tu.

Lissu acha chuki kwa rais wetu wa wanyonge

Chadema wamechanganyikiwa...kampeni za zamani walibebwa sana na machinga na mama ntilie . Sasa wanawaza mwaka huu mtaji wa machinga na mama ntilie umeamia kwa magu
 
Jibu hili, kama mnataka wabunge wa CHADEMA warudishe pesa walizolipwa in advance na Bunge, kwanini Rais nae asirudishe hizo pesa alizolipwa muda ambao hakuwa ikulu?!

Sababu nae ndie mtoro wa kweli, alieondoka bila hata kutoa sababu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe huyu jamaa ni mweupe hivi eti kama Spika anabisha! Spika abishe yeye amekuwa daktari?

Serikali msipoteze muda kumjibu huyu mfuasi wa Mabeberu
 
Ya kwake yanamshinda Leo anashauri ya wengine!
Lisu apambane na yake Raisi aweza fanyia kazi popote ndani ya jamhuri ya muungano hata kichakani tofauti na mbunge .Mbunge ofisii yake Ni bungeni ndio kituu chake kazi sionkwrnye chumba Cha lockdown guess house aliko na hawara yake
 
Kwako mwalimu Ndugai
 
Mnaochangia UZI huu anzeni kwanza kusoma katiba juu ya Rais, utendaji kazi na makazi yake, msijibu tu kwa sababu mmesoma jina la Lissu bila kuelewa alichokisema.
 
Sheria inamtaka afanyie kazi IKULU, acha mapapai yako, IKULU NI DODOMA, DAR ES SALAAM na IKULU NYINE zote kwenye mikoa, CHATO HAKUNA ikulu bali makazi yake binafsi, huwezi kuajiriwa ukfanyia kazi nyumbani kwako, NYERERE HAJAWAHI kufanyia kazi tokea Butiama, bali Magogoni
 
Ndugu.
Hakuna asieupenda uhai wake
Mimi Ni lumumba damdam lakini kwa hili
Ndugai amefeli pakubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kesi Kama unaupenda uhai rudisha per diem.zikatumike kupambana na Corona kwa Nini unachukua milioni 110 unatokomea nazo gizani rudisha uwe CCM au chadema rudisha haraka .Hakuna Cha kuleana Wala kubembelezana kisa wewe CCM
 
Posho za kujikimu siyo kifungo cha mbunge kuhudhuria bunge, ni Haki kama mbunge kupewa hizo hela whether awepo au asiwe bungeni, Spika wenu ****** alichofanya ni kuupotosha Umma wa Watanzania kuwa wabunge wa CHADEMA wamelipwa sitting allowance ambayo mbunge analipwa tu pale anapohudhuria vikao, Period
 
I wish angekuwa anatokea mtu huko CCM awe anajaribu kujibu hoja za Lissu, ajibu moja baada ya nyingine, asiruke hata moja, ingekuwa poa sana.

Halafu Spika peke yake atolee maelezo kwenye suala la malipo ya wabunge, Sitting allowance na Per diem.

Aseme ni kina nani wanaostahili hayo malipo na kwanini, na kina nani wasiostahili hayo malipo na kwanini.

Then tuchambue pumba na mchele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyejificha Chato hujamuona au unajiondoa ufahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…