Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

Lissu ni mgonjwa, sio vizuri kujibishana na wagonjwa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lisu apambane na yake Raisi aweza fanyia kazi popote ndani ya jamhuri ya muungano hata kichakani tofauti na mbunge .Mbunge ofisii yake Ni bungeni ndio kituu chake kazi sionkwrnye chumba Cha lockdown guess house aliko na hawara yake
Kwanini amekimbilia Chato mtu huyo?
 
Kumbe huyu jamaa ni mweupe hivi eti km Spika anabisha ! Spika abishe yeye amekuwa daktari?

Serikali msipoteze muda kumjibu huyu mfuasi wa Mabeberu
Wasemaji wa Serikali ni Pole[ole, Musiba, Kibajaji, Nkamia na watajibu tu, wewe una elimu gani? mbona unaishi sebuleni kwa shemeji yako?
 
Ujinga ni pamoja na kusikiliza ushauri huu wa kipuuzi wa Tundu Lissu.

Tundu kila Siku hutetea Wizi wa Pesa za Wananchi kwa kujificha kwenye vifungu vinavyoendana na ukweli kwa wasio elewa Kweli na uhalali wa Malipo ya hawa Matapeli wa CHADOMO.

Kifupi ni walichokifanya na wanachokifanya Wabunge wa CHADOMO ni Wizi wa Fedha za Umma kwani wanachukua Fedha ambayo hawana haki ya kuichukua kwani hawaitumii.

Wangekuwa Dodoma na wanahudhuria Vikao wangekuwa na uhalali lakini kwakuwa hawapo na hawajulikani walipo huo ni Wizi, Utapeli na Uhujumu Uchumi tu kama uhujumu Mwingine.

RC Makonda ni Bora angeanza kuwakamata tu kama Machangu DOA uko Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu acha kutetea utapeli, wanalipwa posho za kujikimu ili kuwawezesha kuhudhuria vikao vya bunge na si vinginevyo. Kujiweka karantini kuna taratibu zake na si mihemko ya Mbowe. Msigwa, Zitto wamekiri kuwa wapo Dar. Huu utapeli hata wewe uliutumia kukaa ubelgiji huku ukidai kulipwa stahiki za ubunge.
Tapeli lingine limejificha Chato!
 
Lissu amekuwa brainwashed,

Hivi Chadema huwa wanawaza kabla ya kuchukua uamuzi?

Wanawezaje kimchagua Tundu lissu kuwa makamu mwenyekiti wakati anaishi kwa Mabeberu ? Hii Sijawahi kuona duniani

Inaamana ndani ya Chadema waliopo Tanzania Hakuna anayeweza kuwa makamu mwenyekiti ? Hivi hamjui kuwa lissu anagundu anakiharibu chama ?
Mabeberu...kila ukiamka ni beberu tu unamuwaza, sababu alishakodiwa akawekwa zizini kwa ajili yako. Na tunafahamu, beberu la kukodi likija zizini haliji kula, linakuja kufanya yake.

Pichani chini, BeBeRu likinywa Bia yetu kwa madaha.....aaah, beberu weee, beberu una mbwembwe!

1588831658633.png
 
Bora ya zamani Wakati akikaa pamoja nasi alikuwa ni mtu mwenye akiri kubwa, Kwa sasa ameamua kuwa boya tu! Kaandika Ujinga na takataka
 
Back
Top Bottom