dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu acha kutetea utapeli, wanalipwa posho za kujikimu ili kuwawezesha kuhudhuria vikao vya bunge na si vinginevyo. Kujiweka karantini kuna taratibu zake na si mihemko ya Mbowe, Msigwa, Zitto wamekiri kuwa wapo Dar. Huu utapeli hata wewe uliutumia kukaa ubelgiji huku ukidai kulipwa stahiki za ubunge.
Halafu nidharau kubwa sana kwa wanachama waliopo Tanzania mtu anaongoza yuko Ulaya lakini mtu huyo huyo anahoji eti kwanini Rais yuko Chato-Tanzania, hawa Chadema kweli Sasa hivi hawana think tank kabisa
Ccm hakuna mtu wa kujibizana na wajinga!
Ccm huwa inawajibu ukifika uchaguzi na majibu mnayapata mubashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni makosa makubwa makubwa kwa mwanasheria kusema kuwa Mch Lwakatare ,Balozi Mahiga,R.Ndassa walifariki kwa Corona. Maana wenye ruhusa ya kuthibitisha ni familia ya marehemu na cheti cha Daktari ndio uthibitisho.
Wewe mwenyewe kama mwanasheria unasema wizi ni kuchukua mali ya mtu bila ridhaa je hiyo posho ya bunge ilikuwa ya kuja kutumia na mabwana zao au makahaba wao huko Dar au kujikimu hapo Dodoma? Huoni kama wamelidefraud bunge?
Najua Chadema na mmelisika kisiasa tena hata kifikra.
Ule ulikuwa ujumbe kwa taifaHakuna siri chin ya jua au hukumsikia Mama Samia alichozungumza ktk maziko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada leo umevaa bikini ya pink ina doa kati nimeionaLissu amekuwa brainwashed,
Hivi Chadema huwa wanawaza kabla ya kuchukua uamuzi?
Wanawezaje kimchagua Tundu lissu kuwa makamu mwenyekiti wakati anaishi kwa Mabeberu ? Hii Sijawahi kuona duniani
Inaamana ndani ya Chadema waliopo Tanzania Hakuna anayeweza kuwa makamu mwenyekiti ? Hivi hamjui kuwa lissu anagundu anakiharibu chama ?
wewe ni hiyo kiriba tumbo ulichonacho Korona ikikupiga hapo mjengoni huchomoi.Tundu acha kutetea utapeli, wanalipwa posho za kujikimu ili kuwawezesha kuhudhuria vikao vya bunge na si vinginevyo. Kujiweka karantini kuna taratibu zake na si mihemko ya Mbowe, Msigwa, Zitto wamekiri kuwa wapo Dar. Huu utapeli hata wewe uliutumia kukaa ubelgiji huku ukidai kulipwa stahiki za ubunge.
Kwani wewe unaumia nini akiishi kwa mabeberu? unajua anafanya nini?Lissu amekuwa brainwashed,
Hivi Chadema huwa wanawaza kabla ya kuchukua uamuzi?
Wanawezaje kimchagua Tundu lissu kuwa makamu mwenyekiti wakati anaishi kwa Mabeberu ? Hii Sijawahi kuona duniani
Inaamana ndani ya Chadema waliopo Tanzania Hakuna anayeweza kuwa makamu mwenyekiti ? Hivi hamjui kuwa lissu anagundu anakiharibu chama ?
Pamoja na hayo kwani maisha yake hayasongi mbele? Mlitaka kidhulumu uhai wake mkashindwa kwakuwa Mungu pekee ndiye Muumba. Pesa mliweza kwakuwa mlidhani uhai wake uko hapo. Nalo mmeshindwa. Endeleeni kuganga njaa kwa Waheshimiwa wa Chadema.Yeye mwenyewe aliliwa kichwa kimasiharasihara tu hivi Leo hii anashauri wenzake! Tunatofautiana akili.
Lissu kamvua nguo Ndugai , Posho za wabunge mngetaka zisiwafikie basi msingewaingizia kwenye akaunti zaoTundu acha kutetea utapeli, wanalipwa posho za kujikimu ili kuwawezesha kuhudhuria vikao vya bunge na si vinginevyo. Kujiweka karantini kuna taratibu zake na si mihemko ya Mbowe, Msigwa, Zitto wamekiri kuwa wapo Dar. Huu utapeli hata wewe uliutumia kukaa ubelgiji huku ukidai kulipwa stahiki za ubunge.
Chadema haijamsahau Mh Lissu na haitakaa itokee hivyo. Lazima ashirikish kila hatua japokuwa yuko huko aliko. Mh Lissu hakukimbia nchi wala Chama chake wala majukumu yake bali yuko huko kupigania uhai wake.Lissu amekuwa brainwashed,