Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Shauri yako.makuwadi ya dpworld yamegeuka mapuppets zidi yetu ila mtajuta wajinga nyinyi comes 2025.
Yuko sahihi. Refa anasema hii ni faulo lkn mbaya Sana lkn waliofanya faulo watajirekebisha.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono [emoji1][emoji1]
At least efforts zake zimethibitisha kuwa ni kweliHii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Mwabukusi yuko sahihi, tunataka kuwajua wote walio upande wa adui.Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
ππLisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Sio kweliWagner nao ni mkataba mwingine unaoweza kuwa mbaya zaidi.
Huyu jamaa aaache kutudanganyaaa. Na hiiii haimsaidiii kisiasaa, zaidii atafedheheka zaidii na zaidiiiMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
Ukikuta mwanamme halewi Ujue hana majukumu kwa familia wala taifa πππLeo Mwabukusi atalewa sana kupooza machungu ya kupoteza kesiπππ
Katika majaji million 60 majority wanasupport only minority ndio wanapiga kelele na sifa ya kelele ni kusikika hata kama ni watu wawili barabarani wakizipiga sana zitasikika tu.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
Kweli kabisa. Hapo wananchi wataamua kuweka madarakani wale watakomboa bandari zetu.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
Ndio wanamuunga mkono. Hutaki? Halafu muogope Mungu wewe jamaa. unamdhihaki vipi mtu aliyetendewa unyama namna ile na kusababishiwa ulemavu namna ile?Hao millioni sitini na ushee wote wanamuunga mkono huyo chiba?
Nayo imeendaMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
Tusipoteze muda na Tundu Lissu. Kwani nani kamuambia raia wote Milioni 60 hawataki DP WORLD? Yeye mwenyewe kaweka familia Belgium halafu anataka kushawishi watu wakinukishe.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
Huruma kwa Lissu imenitoka mazima baada ya kuona hana shukrani kwa Rais Samia pamoja na mema aliyomtendea. Muache tu aendelee kuitwa ChibaNdio wanamuunga mkono. Hutaki? Halafu muogope Mungu wewe jamaa. unamdhihaki vipi mtu aliyetendewa unyama namna ile na kusababishiwa ulemavu namna ile?
Yaani usomapo ujumbe huu UTUBU. Umenielewa wewe?
Naona mmevimbiwa amani mnajamba tu na kuongea ushuzi. Serikali ikipinduliwa unadhani wewe utakuwa salama? Kama mnakereka hamieni Niger mkafaidi. Acheni upuuzi.Wakuu wa majeshi mara nyingi huwa ni watu wanaokula keki ya taifa, ni nadra kufanya kama ya Niger. Hayo hufanywa na wenye vyeo vya chini. Kwa hapa Tanzania wanajeshi chini ya utawala wa Nyerere ndio walikuwa na uthubutu huo. Sio hawa wanaotaka kuteuliwa wakuu wa mikoa, taasisi za umma na bodi mbalimbali.
Sisi hatuna raha hiyo, nyie mnaokula cake ya taifa ndio mna vya kupoteza. Tuko tayari kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi maana nao watakuwa watanzania, kisha walete katiba mpya itakayofuatwa na wote bila upendeleo.Naona mmevimbiwa amani mnajamba tu na kuongea ushuzi. Serikali ikipinduliwa unadhani wewe utakuwa salama? Kama mnakereka hamieni Niger mkafaidi. Acheni upuuz