Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono [emoji1][emoji1]
Yuko sahihi. Refa anasema hii ni faulo lkn mbaya Sana lkn waliofanya faulo watajirekebisha.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono 😄😄
Huyu jamaa aaache kutudanganyaaa. Na hiiii haimsaidiii kisiasaa, zaidii atafedheheka zaidii na zaidiii
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono 😄😄
Katika majaji million 60 majority wanasupport only minority ndio wanapiga kelele na sifa ya kelele ni kusikika hata kama ni watu wawili barabarani wakizipiga sana zitasikika tu.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono 😄😄
Kweli kabisa. Hapo wananchi wataamua kuweka madarakani wale watakomboa bandari zetu.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono 😄😄
Nayo imeenda
 
Tusipoteze muda na Tundu Lissu. Kwani nani kamuambia raia wote Milioni 60 hawataki DP WORLD? Yeye mwenyewe kaweka familia Belgium halafu anataka kushawishi watu wakinukishe.

Imeisha hiyo DP WORLD waje, wawekeze, tija ya TPA iongezeke ili kuwe na efficiency kwenye SGR yetu.

Usimtupie jiwe kila mbwa unayekutana naye, utapoteza malengo
 
Ndio wanamuunga mkono. Hutaki? Halafu muogope Mungu wewe jamaa. unamdhihaki vipi mtu aliyetendewa unyama namna ile na kusababishiwa ulemavu namna ile?
Yaani usomapo ujumbe huu UTUBU. Umenielewa wewe?
Huruma kwa Lissu imenitoka mazima baada ya kuona hana shukrani kwa Rais Samia pamoja na mema aliyomtendea. Muache tu aendelee kuitwa Chiba
 
Wakuu wa majeshi mara nyingi huwa ni watu wanaokula keki ya taifa, ni nadra kufanya kama ya Niger. Hayo hufanywa na wenye vyeo vya chini. Kwa hapa Tanzania wanajeshi chini ya utawala wa Nyerere ndio walikuwa na uthubutu huo. Sio hawa wanaotaka kuteuliwa wakuu wa mikoa, taasisi za umma na bodi mbalimbali.
Naona mmevimbiwa amani mnajamba tu na kuongea ushuzi. Serikali ikipinduliwa unadhani wewe utakuwa salama? Kama mnakereka hamieni Niger mkafaidi. Acheni upuuzi.
 
Mahakama ya Umma ilishatoa hukumu.

Masaliti na Magaidi yafungwe au yafukuzwe tu.

Haya yote yanayoendelea(255 bs) huko vijijini yalikuja kupunguza, kuchuja, kuzima na kufunika nguvu ya umma iliyopatikana mwanzoni wa sakata hili. Kifupi CHADEMA wameteka mjadala huu na kuu changanya changanya waendelee na reconciliation uchwara(fake) bila kusahau ruzuku....
Wamezima moto.

Mara oh nitalala kaburini, mara oh asingefanya hivi mara oh ni mamilioni yamepatikana.....hovyo kabisa.
 
Naona mmevimbiwa amani mnajamba tu na kuongea ushuzi. Serikali ikipinduliwa unadhani wewe utakuwa salama? Kama mnakereka hamieni Niger mkafaidi. Acheni upuuz
Sisi hatuna raha hiyo, nyie mnaokula cake ya taifa ndio mna vya kupoteza. Tuko tayari kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi maana nao watakuwa watanzania, kisha walete katiba mpya itakayofuatwa na wote bila upendeleo.
 
Back
Top Bottom