GE2025 Tundu Lissu tafadhali acha kuteseka kwa ajili yetu sisi wajinga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha, huku wewe ukiendelea kuteseka.

Mkuu, sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu. Sisi ni mbumbumbu, na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume, hadi leo tunavyoongea, ungekuwa umeshafanikisha malengo yako ya kuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na haki ya kuishi bila hofu.

Nakusihi, mheshimiwa, Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu, na utakapokuwa huru, hachana na harakati za kutupigania sisi wajinga. Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba bora, nenda katunze mkeo, mh. Hacha sisi wanafiki waoga, maisha yatunyooshe. Hacha maji tuite mma, hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
 
Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.

Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.

Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Nyie ndio mliokuwa mkimvunja Moyo Yesu Kristo. Sasa angeacha ukombozi mngeupata wapi?..

Kazi za Lissu katumwa na Mungu mwenyewe. YEYE ndiye anajua hatima yake.
 
ebu fikiria LISSU anampambania Juma lokole!!?
Hajatumwa na wa Tanzania, labda mnaopambaniwa mnajijua, usilaumu wa Tanzania kwa personal ambitions za kisiasa
Hayupo mwanasiasa wa kujitoa mfano wa Yesu. Siasa ni ajira kama zingine tu, yamemkuta wakati akipambana kupata ajira ya u-Rais, na si kutupambania sisi, hakuna mwanasiasa wa kutupigania kwa kujitoa mhanga
 
Hajatumwa na wa Tanzania, labda mnaopambaniwa mnajijua, usilaumu wa Tanzania kwa personal ambitions za kisiasa
Hayupo mwanasiasa wa kujitoa mfano wa Yesu. Siasa ni ajira kama zingine tu
Basi namim namshauri aachane na hiyo ajira, sisi ni mbumbumbu
 
Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.

Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.

Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Ume ongea jambo jema sana kwa kifupi na mm nakazia ikiwezekana akubali kulamba asali kimya kimya, baadhi yetu bado tupo usingizi mzito.

Tume jaa una fiki tu.
 
Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.

Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.

Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Huyo ni mbeba maono wa Tanganyika na kila kinachomtokea ni unabii
 
Nikweli mkuu , ila hatoweza kufikia malengo single handedly, au kwa kushirikiana na HECHE tu , haitwezekana bila nguvu ya umma , bila nguvu zetu.huyu mtu kama tungekuwa tunampenda asingekuwa anateseka jela mpaka sasa..Namshauri aiponye nafasi yake
 
We mbwa koko uwe na adabu, we ndio mjinga pengine umemtuma akupambanie. Huyo mnyaturu mpumbavu watanzania wenye akili hawajamtuma kufanya uhalifu, ht mke wake amemkimbia we kima ni nani? We ni mpumbavu mpk chenji inabaki. Huyo ni lofa na kifungo kinansubiri.
 
Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.

Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.

Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Uchafu km wa chooni
 
Nikweli mkuu , ila hatoweza kufikia malengo single handedly, au kwa kushirikiana na HECHE tu , haitwezekana bila nguvu ya umma , bila nguvu zetu.huyu mtu kama tungekuwa tunampenda asingekuwa anateseka jela mpaka sasa..Namshauri aiponye nafasi yake
Lione hili kibwengo
 
Back
Top Bottom