mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nyie ndio mliokuwa mkimvunja Moyo Yesu Kristo. Sasa angeacha ukombozi mngeupata wapi?..Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.
Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.
Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Au sio? wakati huo wew uko kwenye kinena cha Manzi unachuma yutiai sugu ??sisi hatusaidiki ,sisi ni sawa na sikio la kufaNyie ndio mliokuwa mkimvunja Moyo Yesu Kristo. Sasa angeacha ukombozi mngeupata wapi?..
Kazi za Lissu katumwa na Mungu mwenyewe. YEYE ndiye anajua hatima yake.
ebu fikiria LISSU anampambania Juma lokole!!?Lissu, namkubal ila siasa...🫡
Na Mzee wa Ubwabwa.ebu fikiria LISSU anampambania Juma lokole!!?
Hajatumwa na wa Tanzania, labda mnaopambaniwa mnajijua, usilaumu wa Tanzania kwa personal ambitions za kisiasaebu fikiria LISSU anampambania Juma lokole!!?
Basi namim namshauri aachane na hiyo ajira, sisi ni mbumbumbuHajatumwa na wa Tanzania, labda mnaopambaniwa mnajijua, usilaumu wa Tanzania kwa personal ambitions za kisiasa
Hayupo mwanasiasa wa kujitoa mfano wa Yesu. Siasa ni ajira kama zingine tu
Ume ongea jambo jema sana kwa kifupi na mm nakazia ikiwezekana akubali kulamba asali kimya kimya, baadhi yetu bado tupo usingizi mzito.Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.
Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.
Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Huyo ni mbeba maono wa Tanganyika na kila kinachomtokea ni unabiiUkweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.
Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.
Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Nikweli mkuu , ila hatoweza kufikia malengo single handedly, au kwa kushirikiana na HECHE tu , haitwezekana bila nguvu ya umma , bila nguvu zetu.huyu mtu kama tungekuwa tunampenda asingekuwa anateseka jela mpaka sasa..Namshauri aiponye nafasi yakeHuyo ni mbeba maono wa Tanganyika na kila kinachomtokea ni unabii
Yere! Yere! TeheteheAu sio? wakati huo wew uko kwenye kinena cha Manzi unachuma yutiai sugu ??sisi hatusaidiki ,sisi ni sawa na sikio la kufa
Unaweza kuzuia mapinduzi ila akili za mapinduzi huwezi kuziondoa ndani ya watu....Huyo ni mbeba maono wa Tanganyika na kila kinachomtokea ni unabii
We mbwa koko uwe na adabu, we ndio mjinga pengine umemtuma akupambanie. Huyo mnyaturu mpumbavu watanzania wenye akili hawajamtuma kufanya uhalifu, ht mke wake amemkimbia we kima ni nani? We ni mpumbavu mpk chenji inabaki. Huyo ni lofa na kifungo kinansubiri.Ukweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.
Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.
Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Uchafu km wa chooniUkweli sisi unaotupigania hatujui tunataka nini , wengi wetu ni keyboard warriors tunahamasishana mitandaoni . Lakini on the ground , wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu .Tunakukumbuka Siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na maisha huku wewe ukiendelea kuteseka.
Mkuu sisi hatustahili kuwa na wewe kama mtetezi wetu, sisi ni mbumbumbu , na kwa hakika huenda ungekuwa unatoka katika moja ya nchi dume Hadi Leo tunavyoongea , ungekuwa umeshafanikisha malengo yako yakuwapatia wananchi uhuru wao wa maoni na Haki ya kuishi bila hofu.
Nakusihi muheshimiwa , Mungu atakapokuvusha katika jaribu hili gumu , na utakapokuwa huru hachana na harakati zakutupigania sisi wajinga .Nenda katunze wanao wenye bahati ya kuwa na baba Bora , nenda katunze mkeo mh. Hacha sisi wanafiki waoga ,maisha yatunyooshe , hacha maji tuite mma , hacha fisiemu watukamue mpaka makende.
Lione hili kibwengoNikweli mkuu , ila hatoweza kufikia malengo single handedly, au kwa kushirikiana na HECHE tu , haitwezekana bila nguvu ya umma , bila nguvu zetu.huyu mtu kama tungekuwa tunampenda asingekuwa anateseka jela mpaka sasa..Namshauri aiponye nafasi yake
najua mashoga uwa mna Siku zenu za joto la nnya kuzidi.. bila shaka kipele kinakuwashaLione hili kibwengo