GE2025 Tundu Lissu tafadhali acha kuteseka kwa ajili yetu sisi wajinga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HUYO LISSU NI MJINGA NO 1 NDIYO MAANA ALIMPINGA JPM ALIPOKUWA ANA PAMBANA NA WAHALIFU ...TULIMSIKIA LISSU KWA MASIKIO YETU AKIWATETEA WANA MTANDAO NA MABEBERU WANAO MDHIHAKI SASA NA KUMKOMESHA NA KUMTUPA JELA...LISSU ALIWATETEA WAZIWAZI HADI KUSEMA TUTASHITAKIWA MIGA...tujiulize ni Samia huyu aliye muona lissu kuwa na thamani hadi kwenda NAIROBI mbio kumtizama kibaraka wao alipo pigwa risasi? Mbona wakenya walikokuja kumtizama lissu huyu huyo mahakamani wamefanyiwa ushenzi ?...LISSU NA CHADEMA WANA LAANA YA JPM NA LAANA YA KUWASALITI WAZALENDO.NA LAANA YA KUWASALITI WANANCHI WANYONGE.
 
Wewe na ''hacha'' badala ya ''acha'' mmefunga ndoa? Wabongo wengi tumezoea short-cut. Hatutaki kabisa kuhenyeka na mtu akipata challenge hata kidogo hukata tamaa. Nadhani ni elimu yetu, tunakakari ili tushinde mitihani na hatuelimiki na kujua challenge za watu mbalimbali au mataifa mbalimbali waliyokutana nazo mpaka wakafikia ngazi za juu. Hatua uwezo wa kusoma historia ya dunia na kujua watu walivyohangaika mpaka kufikia kiwango cha juu cha ustaarabu.
 
Mbona sikuoni mahakamani mkuu ??
Unapata wapi mamlaka yakumuita mkombozi mpumbavu??narudia wew ni shoga mzee, na lazima usimikiwe miti ili utulie
 
Wew nae zero, unakosoa uandishi wa mtukufu ?huna logic , hakuna mtu alifinikiwa bila nguvu ya umma, huko vijijini kwenu matopeni , masikini na walala hoi wa kabila lenu hawajui hata maana ya katiba.mtu hujawah hata kusingiziwa wizi, ila unaujasiri wa kuandika hii takataka yako ukiwa kwenye daladala kwenda kuvizia laki 6 mwisho wa mwezi , uweke bando useme mwaka huu kazi fisiemu wanayo, bogus..LISSU anapaswa kuacha mara moja Kila mtu ajiponye mwenyewe
 
Mtu jeuri, kiburi, ujuwaji mwingi usio na maana, mlopokaji asiye na breki......huyo hafai hata kubeba maono ya familia yake.
 
acha maji yatafute njia yake, kwani yatafika yanakotarajiwa kwenda, na wanufaika watafurahia. this is nature.
 
Anapigania tumbo lake wanaharakati walikuwa zamani
 
Uoga na umasikini mjuba. Wananchi wanahofia usalama wao, si kama hawataki ukombozi
 
Mimi sipambaniwi na Lissu kwa lolote , tuweke record sawa.
 
Kiwang chako cha elimu tafadhali kama hutojali!?
 
Naunga mkono hoja hii kwa asilimia 💯
 
Ume ongea jambo jema sana kwa kifupi na mm nakazia ikiwezekana akubali kulamba asali kimya kimya, baadhi yetu bado tupo usingizi mzito.

Tume jaa una fiki tu.
Kwa dhamira Safi aliyonayo hastahili kulamba asali, nashauri akitoka hili jela, naamini atatoka tu maana hana hatia, aunganishe tu uhamishoni akaishi vizuri na familia yake. Aachane na siasa za kijima na uongozi uliojaa utapeli ubadhirifu na ubinafsi. 🤔
 
Anavuna alichopanda
 
Uoga na umasikini mjuba. Wananchi wanahofia usalama wao, si kama hawataki ukombozi
Ukomboz gani
Mfano kundi la walimu madaraja na mishahara ilikua haipand saiv inapanda unazani hao watampinga rais akat wanaona kasikiliza kilio chao
Bdo wakulima mazao yao saiv yanapanda samani soko la nje unazani nao watampinga rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…