Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman
Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the shoe is on the other foot
Sasa muonyeshe, na ionyeshe nchi na dunia kwamba una misimamo ya kweli na thabiti, you are authentic and principled
Toka hadharini upiganie kwa nguvu haki ya kusema ya Spika Ndugai hata kama yeye amewanyima wenzake haki hiyo
Unakaaje kimya kwenye suala zito la kitaifa kama hili la mhimili wa bunge kupigwa pini na Rais mwenye manguvu ya kimungu ? Unawezaje kukaa kimya?