Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

Asingepinga maatamshi yake mwenyewe, angeungwa mkono hata na Jenerali na CAG Jaffery.
 


So you are a definition of someone's principles?
 

Hakuna kipindi bunge limepigwa pini na Rais kama kipindi cha Magu. Wabunge wa upinzani walinyang'anywa hotuba rasm za kambi yao, wasizungumze yale John asiyitaka kusikia.

Mwache Lissu, mwache na Mama ambaye kimsingi anaendelea kulipa meno bunge
 
Covid 19 wako huko, watawakilisha
 

Major yako umesema ushujaa Wake na utetezi Wake wa haki … kumpinga Rais . Akapigwa Risasi. Nani kampiga Risasi? Haki gani aliyokuwa anatetea.

Punguza upumbavu.
 
Major yako umesema ushujaa Wake na utetezi Wake wa haki … kumpinga Rais . Akapigwa Risasi. Nani kampiga Risasi? Haki gani aliyokuwa anatetea.

Punguza upumbavu.
alipigwa risasi na watu walioondoa surveillance cameras za serikali na walioondoa walinzi wa serikali, ambao ni serikali...

masaa matatu kabla ya Lissu kupigwa risasi Rais alisema wanaopinga vita vyake vya kiuchumi ni wasaliti, na wasaliti wanastahili kuuliwa...

Tundu Lissu was by far and away the harshest critic of Magufuli's repressive presidency, and a decision was made to eliminate him.

The shoe is on the other foot. Spika Ndugai kwa sasa ndio mhanga wa utawala wa kimabavu na manguvu ya kimungu ya Rais. Hakuna mwenye political stature and gravitas ya kutetea haki ya Spika ya kumkosoa Rais zaidi ya Tundu Lissu.

Tundu Lissu be principled, tetea uhuru wa taasisi ya Spika kumkema Rais.
 

.... hongera sana​

.... hatimaye Tundu Lissu ajitokeza na kumpa credit Ndugai​

.... asema amefanya ambacho hakijafanywa na Spika toka bunge la mwaka 1926​


 
Kwa
Kwani wakati ndugai anazungumza alizungumza akiwa wapi bungeni au uchochoni? Na je aliwakilisha taasisi ya bunge au kama maoni yake?

Msitake kujifanya wajuaji kwa kutaka muonewe huruma kwa karma inayowatafuna. Mwacheni alinywe maana yeye mwenyewe alishiriki kuwadhuru wengi waliokuwa wanatoa maoni ya kuijenga nchi.
 
Well, Tundu Lissu ameshatuelewa....
 

.... hongera sana​

.... hatimaye Tundu Lissu ajitokeza na kumpa credit Ndugai​

.... asema amefanya ambacho hakijafanywa na Spika toka bunge la mwaka 1926​


Uongozi siku zote unahitaji perspectiveness kama hii ya Lissu, sio kuwa myopic, kiongozi anatakiwa kutazama mambo kwa upana wake
 
enheee...... na hapo ndio tatizo kubwa na la msingi la wapinzani

Wapinzani ni watu wepesi sana kuwachanganya akili na kufanya wasikuelewe na mwisho kukuita msaliti kama utasimamia misingi fulani hivi ambayo hawajaizoea
Sikili wewe. Ndugai angetetewa sana na kila mtanzania mwenye akili kama hayo aliyosema angekuwa ameyasema kwa manufaa ya Taifa. Yaani angekuwa anahoji kweli baada ya kuona nchi inakwenda vibaya kwa mikopo na madeni. Lakini kinyume chake ni kuwa Ndugai alisema kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Kwa maana nyingine alihoji kwa sababu aliona kuwa maslahi yake yako hatarini ndiyo maana akajaribu kutingisha kibiriti. Hizi ni kambi mbili za CCM ziko vitani kwa sababu ya kusaka madaraka.
 
Hii siku atakapomsapoti huyu asiyejua anataka nini ndo siku tutakapojiondoa kwake rasmi. Kwani wewe mpaka sasa unajua Supika wenu anataka nini? Angesimamia anachoamini angetetea sasa ameshakikana atetewe kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…