Kumbe ulikuwa na kura yake jomba?Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Ni mwanasiasa gani unatrigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?
Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.
Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe,ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.
Cc. JokaKuu
Tundu Lissu kamwe huwa haumiumi maneno na ndio anafaa auondoe huo ushungi hapo Ikulu
Huwa najiuliza?hivi siku moja lissu ikatokea akamjua adui yake wa ukweli atafanyaje?
Ova
Mbona unajifanya kusahau kazi zingine za huyo wa kwanza. Kwanini umeziacha hizi zingine?Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Lissu ana akili sana! Natamani kama angefundisha Chuo Kikuu ili tupate wasomi wenye fikra pevu kama zake. Huwezi amini kuwa mtu kama huyu hatumiki katika Taifa lake. Watu wabishi wa hoja kama hawa ni muhimu kuchangamsha nchi.Sasa huyu jamaa na ngeli yake ya ukweli namna hii alikuwa anajihangaisha nini kwa siasa...nimeikubali english yake.
Wewe hata maandishi hapo juu unadai lissu kaandikiwa unaweza thibitisha hilo .Huwa sicomment kwa watu wapumbavu,kaa pembeni pita kule kwenye Comment yangu,achia Wastaarabu wanaojua nini maana ya kupingana kwa Hoja. Narudia tena skip my Comment. Idiot. joka kuu unaona upuuzi kama huu tumeudiscuss kwa Thread ile nyingine. JF imevamiwa na vijana wapumbavu sana.
mbona mi ana kura yangu labda asigombee tuHunizidi Mimi Mkuu,kanidissapoint sana. Sijui akili yake inawaza nini? Ile huruma niliyokuwa nayo imeondoka kabisa. Huyu kama ndiyo ana ndoto ya kuja kugombea ndiyo atawajua Watanzania vizuri. Wenzie kina Mbowe wamekaa kimya anadhani wao ni wajinga?
Ningependa Magufuli angeishi auone utawala wa Lissu. Lakini hayakua mapenzi ya Mungu.Lissu anastahili kabisa Ikulu yetu
Kwani lazima awe Rais? Haya tu anayoyafanya kwangu yanatosha kabisa tena kuliko urais. Nilitamani awe Rais Jiwe akiwa hai ili aone namna bora ya kuendesha nchi. Sasa hayupo, hivyo siyo lazima Lissu awe Rais. Haya anayoyafanya ni somo zuri sana kwa Taifa na viongozi wetu. Hongera sana Lissu. Nashangaa mtu anadhamiria kumuua mtu kama huyu! Mbaya zaidi anakufa yeye sasa. Mungu hadhihakiwi.Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Ni mwanasiasa gani unatrigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?
Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.
Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe,ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.
Cc. JokaKuu
Sasa kama ulimchangia kwani lazima utwambie hapa? Kwa hiyo unataka urudishiwe hela yako? Halafu uliwahi kuona waliomchangia wanajitokeza kutwambia humu jukwaani? Hivi nyie CCM akili zilielekea wapi? ndio maana mnamchuuza marehemu juani na vichochoroni kutwa kucha. Hamna utu nyie.Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Ni mwanasiasa gani unatrigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?
Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.
Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe,ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.
Cc. JokaKuu
Why are you thinking in a stupidity manner like this? Is this your own country or a country of we all? Stop such stupid perception of thinking that this country is your. It is ours. You have already inherited bad behaviour from the deceased! Poor you.Died with covid or not, you should stop writting a lot and challenging him. He might win while in coffin/grave through his followers and you might end up failing to visit your nation for the rest of your life.
Kuna watu, kwa kutoelewa tu au upeo mdogo, wanashindwa kuelewa uwezo wa Tundu Lisu. Uelewa wa Tundu Lisu katika mambo mengi, nibwa kiwango cha juu sana.Sasa huyu jamaa na ngeli yake ya ukweli namna hii alikuwa anajihangaisha nini kwa siasa...nimeikubali english yake.
1. Wafu ndio akina nani? Toa mfano wa mfu mmoja. Ila asiwe yule mliyemwita Chuma hicho.Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Daaaaaaah we jamaa kiazi kweli, nawe ukafikiria na kuandika hicho?Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Wanajifanya kumpigania na kumtetea lakini wameshindwa kuchangia kufunga betri iliyochomoka.Jobless kama wewe ungechangiya 400 ya kuweka betri kwenye moyo.
Twambie ni nani aliyempiga risasi?Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwanasiasa gani una-trigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?
Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.
Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe, ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.
Cc. JokaKuu
A good politician always anacheza na psychollogy za watu kuwapata wafuasi, anatazama upepo unavyokwenda kama ukielekea north na yeye anaenda north, ukigeukia south na yeye anaenda south, huyu jamaa analeta ujuaji anajidai kupishana na upepo, ngoja akigeuka ajikute yupo mwenyewe ndio akili zitamrudia, hizi filimbi zake huku jf nazitazama tu, naziona zinakupigia kelele wewe tu.Hunizidi Mimi Mkuu,kanidissapoint sana. Sijui akili yake inawaza nini? Ile huruma niliyokuwa nayo imeondoka kabisa. Huyu kama ndiyo ana ndoto ya kuja kugombea ndiyo atawajua Watanzania vizuri. Wenzie kina Mbowe wamekaa kimya anadhani wao ni wajinga?