Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Lissu alisema kuwa Magufuli ni dikteta uchwara hakukosea kabisa

Na akasema Magufuli anaumwa na huenda kafa hakukosea kabisa

Nas asa kila atakachosema tuko pamoja aisee!!
 
Hivyo ndivyo Lisu alivyomjua JPM. Kila mtu anamjua kivyake kama vile timu ya mpira wa miguu ina wachezaji 30 ukuwaleta makocha 5, kila mmoja atakuwa na kikosi chake cha kwanza kwa namna anavyowaona wachezaji wake.
 
Mtu aliyekuwa hafikiki kirahisi na watu kwenye uhai wake. Kila wakati kazungukwa na mamitambo ya ulinzi na wanajeshi makomando wa PSU, leo anazungushwa kama samaki wa feri waliododa.

Tafakari Mara mbili, ule siyo umaarufu. Ni adhabu ya Mungu tu
meseji nzito hii
 
Naona unahangaika kum quote kila mtu, kunywa maji utulie utapasua hicho kichwa bure huku Lissu unaemlilia sidhani hata kama anakujua.
Na wewe huyu mnayezurula naye juani, vichochoroni , angani na barabarani anakujua?
 
Ni masikitiko yangu makubwa kuwa WALAFI na WAZANDIKI, wanaoiona hii nchi kama ni yao na wao wanastahili kupata mkate wao kwa jinsi yoyote ile bila kujali utu na usawa, HAWATAKUELEWA na pengine kutusi intelligence yako ILA huu ndo ukweli wa tulip wengi.

T.A.L alikuwepo kipindi cha Mkapa na Kikwete, alifanya nini? Alifanyia nini taifa na jimbo lake?

Hakuwa miongoni mwa wabunge waliolilia nyongeza ya mishahara yao ilihali wana priviledge lukuki mara elfu ya wananchi na waajiriwa wa serikali?

Kipindi ambacho wanakiona kilikuwa na demokrasia, walifanya nini?

Ameshawahi kuweka wazi kuwa zile 30m za jimbo alikuwa anazifanyia nini?

Anaamini ni Magufuli ndio alitishia maisha yake na kuwa alikuwa dikteta, akiamini Mama Samia ni mwanademokrasia, nini sasa kinachomfanya aendelee kuogopa kurudi?

Chacha Wangwe yalimkuta na sababu zilihisiwa kuwa ni inside job, Zito akakimbia chama n.k Yeye pia yamemkuta, hana ushahidi wa kimazingira kuwa ilikuwa ni direct order ya Raisi yeye kushambuliwa, wamelibeba kisiasa na kutaka kuvuruga nchi, kwa vyovyote vile inaweza kuhisiwa ni kazi za wake waliochukia Magufuli kuwa raisi from no where, wakatengeneza mauaji ya Rufiji, ajabu ni kwamba wengi waliopoteza maisha kule Rufiji hawapewi uzito kuliko Lissu aliyepona na anayeweza kuzungumza any how.

Anapambana na Hayati? He is indeed a pathetic fool.
 
CCM ni watu wapenda shari shari tu - Msiba huu wameufanya mali yao wote - kwa sasa ni kumtembeza maiti kupata millage za kisiasa ili kujaribu kusafisha yote yaliyomhusu marehemu enzi za uongozi wake.
Haiwasaidii. Halafu wanasambaza hotuba za wageni wa nje eti wamemsifia. Hao wageni tangu lini wakamjua vizuri kuliko sisi wa ndani ya familia? Hizo sifa wataondoka nazo ila sisi wa ndani tutabaki na ukweli wetu. Eti mtu wa nje ya familia anasema, huyu baba aliijali familia yake, wakati sisi wanafamilia tunajua kabisa aliitelekeza familia. hapo nani mkweli?
 
Subiri tumalize kuomboleza!!!!!
 
Nimeandika hapo very LOUD and CLEAR nikijua fika ana filimbi zake nyingi sana huku zimejaa, naamini zimenisoma, ila kama kunielewa sina hakika coz nyingi ni kufuata mikumbo tu.

Lissu is not an angel, kumtukuza kupitiliza coz alipona risasi ni kumvimbisha kichwa na anavyoonekana ana vimba haswa, anasahau siasa ni upepo akicheza umepita, kuijenga Chadema miaka yote bila kuwa na hekima ya kuisimamia iendelee kubaki juu ni upuuzi, itashuka.
 
Hakuna hiyo ! Kuandika ukweli ndio kukosa uvumilivu ? mmezoea watu wa kurembaremba , kwa Lissu ni big NO , Jibuni hoja zake au pingeni
Bingwa, unawezaje kuuambiwa umma wa kimataifa ikiwa ni pamoja na wanaokuhifadhi kuwa umemkimbia baba katili halafu hao unaowaeleza wanakujibu kwa kuuambiwa, tunaomboleza kifo chake kwa heshima ya kimataifa, benders nusu mlingoti. Unajisikiaje?

Muammar Gaddafi, Saddam Hussein, Bokasa, n.k, walipokufa, UN ilishusha bendera?
 

Member yeyeto wa UN lzm bendera ipepee fatilia,pili ni mwanzo mpya wa mahusiano mema
 
Msubiri siku akirudi ukambebe mgongoni halafu uone mwisho wake kama haya makelele anayopiga now yatamsaidia chochote, ukimtua tu, na habari yake ndio imeishia hapo.
Mwenye shida nae keshapangiwa majukumu mengine na Mola wake kadri alivyomuomba.
Wanarudi wote kama mwana mpotevu.
Walidhani dunia ni ya baba yao
 
Another shit from from hungry faces go sale gay lotions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…