Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wale ndege wamelala pale eapoti wanataga mayai, yakianza kutotoa Tanzania tutakuwa na ndege nyingi kuliko ulaya na tutawezesha wasanii wetu kutapakaa ulaya na asia.Basi atoe mawazo mbadala kwamba Yeye na chama chake Wana mawazo Gani kuhusu ndege zilizopaki ambazo zilinunuliwa Kwa Kodi zetu na wananchi tunakamuliwa kulipa mikopo hiyo ilhali TIJA haionekani.
Lissu ana taarifa za kina nyingi tu Nchi hiiKwa hiyo huyo Lisu unayemuomba huo msaada atakusaidiaje bila ya kuwa na taarifa za kina?
Ni Kweli ushauri unalipiwa,Kwa wenzetu ushauri ni kazi na hulipiwa, mlipeni Tundu Lissu awashauri namna bora ya kuendesha Air Tanzania kwa faida na ndege zenu zisikamatwe kwa madeni.
Hao wafungua kesi Wana connection na watu wa serikalini Ili kuhujumu Taifa,..kuna mtu nimesikia kuibuka na kesi ya miaka ya 60 anaidai serikali.
..serikali za Ccm zimefanya mambo ya kibwege sana ambayo yanaigharimu nchi.
Mambo ni mengi tatizo mudaSalaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.
Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.
Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.
Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.
Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.
Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.
Mkuu Rabbon unapozidi kukomaa na hii mada jiulize swali la msingi kabisa: CCM wanataka kufufua ATCL?Hao wafungua kesi Wana connection na watu wa serikalini Ili kuhujumu Taifa,
Jiulize mbona utawala wa Mkapa na Magu, hapakuwa na case za namna hiyo?
Lissu asaidie kuitaja chain hiyo na kuweka hadharani mipango Yao,
Ili hujuma Kwa Taifa ikome.
Kwa hiyo akisema ununuzi wa hao njiwa haukizingatia taratibu za manunuzi hatakuwa mchochezi?Lissu ana taarifa za kina nyingi tu Nchi hii
Yeye alioneshwa uzalendo upi kwa kupigwa risasi ili afe?Uzalendo si wa upande mmoja tu.Kila upande uuoneshe huo uzalendo kwa vitendo.Lissu kuwaza kuzikamata ndege zilizonunuliwa Kwa JASHO letu, hiyo Si sawa.
Kipimo Cha Uzalendo kinapunguka hapo.
Sasa ashambuliwe na wasiojulikana, hasira iweje aelekeze kwenye ndege zetu?Yeye alioneshwa uzalendo upi kwa kupigwa risasi ili afe?Uzalendo si wa upande mmoja tu.Kila upande uuoneshe huo uzalendo kwa vitendo.
Hebu tumia akili zako kadiri ya uwezo wako wewe!Mpaka leo kichwani mwako kuna neno "wasiojulikana"?Sasa ashambuliwe na wasiojulikana, hasira iweje aelekeze kwenye ndege zetu?
Ndege Si za wasiojulikana, ni Mali ya Watanzania maskini wavuja JASHO.
Rudia kutumia akili zako sawasawa kuniuliza swali linaloeleweka tafadhali. 🙏Hebu tumia akili zako kadiri ya uwezo wako wewe!Mpaka leo kichwani mwako kuna neno "wasiojulikana"?
Sina njia nzuri uitakayo ya kukuuliza swali.Rudia kutumia akili zako sawasawa kumuuliza swali linaloeleweka tafadhali. 🙏
Waliotaka kumuua ndio wazalendo? Tuache masihara kwenye uhai wa mtu.Lissu kuwaza kuzikamata ndege zilizonunuliwa Kwa JASHO letu, hiyo Si sawa.
Kipimo Cha Uzalendo kinapunguka hapo.
We najamaa nilikuwa naliona unajielewa kumbe wewe ni wale wale. Hizo ndege ulishawahi kupanda? Ni zenu wewe na nani?Sasa ashambuliwe na wasiojulikana, hasira iweje aelekeze kwenye ndege zetu?
Ndege Si za wasiojulikana, ni Mali ya Watanzania maskini wavuja JASHO.
Watanzania maskini walipakodi hawakuhusika kumshambulia Lissu.Waliotaka kumuua ndio wazalendo? Tuache masihara kwenye uhai wa mtu.
Afrika hatuko serioua ndio maana mtu anaweza kuwatamkia wanaotekwa na kuuawa kuwa wanafanya masihara. Yaani unataka kuniua na umenikosa kosa risasi ila nikikamata ndege zako mimi ndio nionekane mbaya ila wew
we je? Come on!!
Ndege ni zetu zimenunuliwa Kwa Kodi zetu, mikopo hiyo tutalipisgwa sie.We najamaa nilikuwa naliona unajielewa kumbe wewe ni wale wale. Hizo ndege ulishawahi kupanda? Ni zenu wewe na nani?
Suluhisho ni kufuata sheria za Kitaifa na Kimataifa na kulinda haki na uhai wa binadamu.Salaam, Shalom!