Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

Yeye ni mwanasheria sio mchumi, atashauri vipi suala la kiuchumi?
Ashauri kuhusu hao wanashirikiana na Walio serikalini na awataje wanaohakikisha tunashindwa na kugaragazwa Kila kukicha.

Haiwezekani tubahatike msomi aina ya Lissu halafu tushindwe kesi kimataifa,

Uzalendo utangulie ,siasa zifuate.
 
Ndio nasemaje,

TUNDU Lissu na CDM watoe maoni ya kizalendo na nini kifanyike kutatua shida hiyo,

Tukikusikiza ndugu Tindo, yaezakuwa wewe ni dalali, unatengeza mazingira ya kutupiga Cha juu,

Naamini Lisu akishauri kitaalamu, wataogopa kutushtaki.
Dalali wa ndege mbovu? Sina soko la chuma chakavu boss.
 
Ashauri kuhusu hao wanashirikiana na Walio serikalini na awataje wanaohakikisha tunashindwa na kugaragazwa Kila kukicha.

Haiwezekani tubahatike msomi aina ya Lissu halafu tushindwe kesi kimataifa,

Uzalendo utangulie ,siasa zifuate.
Ushauri wa Lisu ccm hawautaki, maana itaonekana ni kumpaisha kisiasa.
 
Ushauri wa Lisu ccm hawautaki, maana itaonekana ni kumpaisha kisiasa.
Tunajua watapuuza kama ada Yao,

Wananchi tunataka kusikia mawazo Chanya ya kizalendo juu ya ndege zilizonunuliwa Kwa Kodi za wananchi, na hazifanyi biashara iliyokusudiwa Toka Kwa Mwanasheria msomi Tundu Lissu maana tunamwamini atatuvusha.
 
Unaona sasa mawazo Yako,

Ndege mpya zimepaki, unaziita mbovu Ili uuze CHUMA chakavu!!
Mkuu unajua ukweli wa hizo ndege? Au ww ukiona ndege tu imepigwa rangi unaita mpya?
 
Basi atoe mawazo mbadala kwamba Yeye na chama chake Wana mawazo Gani kuhusu ndege zilizopaki ambazo zilinunuliwa Kwa Kodi zetu na wananchi tunakamuliwa kulipa mikopo hiyo ilhali TIJA haionekani.
Mbona wamekuwa wakitoa ushairi miaka na mikaka!
 
HOFU ya kukamatwa Kwa ndege ndio Hasa sababu ya kuziground.

Sasa ndipo haja ya kuomba msaada Toka Kwa Mwanasheria msomi Tundu Lissu unaibukia hapo.

..kwanini ndege zinakamatwa huko nje?

..Ccm kuna watu wa ajabu sana. Kwanini mmeifikisha nchi ktk aibu hii.

..Labda ushauri mzuri ni mpumzike, muwaachie wengine wenye uzalendo waongoze.
 
..kwanini ndege zinakamatwa huko nje?

..Ccm kuna watu wa ajabu sana. Kwanini mmeifikisha nchi ktk aibu hii.

..Labda ushauri mzuri ni mpumzike, muwaachie wengine wenye uzalendo waongoze.
Hilo nakubaliana nalo.

Ndipo sasa ningependa kujua ikiwa TUNDU Lissu na CDM Wana mpango Gani na ndege zilizopo,

Au wao watabinafsisha kabisa ATCL itoke mikononi mwa Serikali Kisha ndege zinapigwa Bei, ama nini!!

ANGALIZO: Kunihusisha Mimi na CCM,ni kunivunjia Heshima.

Karibu.
 
..Kwani tatizo la Atcl ni nini haswa?
 
..Kwani tatizo la Atcl ni nini haswa?
1. Mipango mibovu.

2. Utegemezi Toka serikalini.

3. RUSHWA na ubadhirifu.

4. Staff wengi kuliko uzalishaji.

5,6,7....nk nk nk
 
Umeshaletewa mjukuu tayari,

Sasa kumuuliza Binti Yako kuwa kwanini umeniletea mjukuu saizi ilhali sijawa tayari kuitwa Babu,

Swali Hilo halisaidii chochote.
Kwa hiyo huyo Lisu unayemuomba huo msaada atakusaidiaje bila ya kuwa na taarifa za kina?
 
Salaam, Shalom!

Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,

Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,

Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.

Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.

Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.

Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.

Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.

Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.
Wanufaika wa ccm hawapo tayari kuona hilo likitokea.
Wananchi nao hawaoni faida ya kushinda hizo kesi!
 
Kwa wenzetu ushauri ni kazi na hulipiwa, mlipeni Tundu Lissu awashauri namna bora ya kuendesha Air Tanzania kwa faida na ndege zenu zisikamatwe kwa madeni.
 
Back
Top Bottom