- Thread starter
- #61
Tunataka tupate solution,Kazi ya sisi wananchi ni nini?
Tupate wataalamu Ili tusishindwe kesi, ikiwa Haiwezekani tujue tunafanyaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka tupate solution,Kazi ya sisi wananchi ni nini?
Kupata wataalamu wa kuisaidia nchi ni pale tu wapumbavu wa CCM na watumishi wa umma kukubali kupokea dawa mjarabu ya walio nje na mfumo ambao huwa mara zote wanawafanyia "asesimenti" na "ivalueshn" na kuwaona utekelezaji wao.Wanafanya vikao (CCM )na watumishi na kuwajaza ujinga wawachukie watu mbadala.Tunataka tupate solution,
Tupate wataalamu Ili tusishindwe kesi, ikiwa Haiwezekani tujue tunafanyaje.
Imagine una hisa kwenye kampuni Fulani ya usafirishaji inayojihusisha na USAFIRI wa anga,Kupata wataalamu wa kuisaidia nchi ni pale tu wapumbavu wa CCM na watumishi wa umma kukubali kupokea dawa mjarabu ya walio nje na mfumo ambao huwa mara zote wanawafanyia "asesimenti" na "ivalueshn" na kuwaona utekelezaji wao.Wanafanya vikao (CCM )na watumishi na kuwajaza ujinga wawachukie watu mbadala.
Fafanua hapo kwenye/ulipoanzia "WAPINZANI"!Imagine una hisa kwenye kampuni Fulani ya usafirishaji inayojihusisha na USAFIRI wa anga,
Hisa zenu zimetumika kununua ndege, halafu ghafula, yanatokea ya Kutokea, WAPINZANI wanashirikiana na viongozi mliowachagua kuhujumu kampuni, ndege zinapaki,
Mwana hisa lazima uhamaki na kutaka kujua nini kifanyike Ili pesa uliyowekeza isifie humo,
Lakini Kuna Watanzania wengine wanashangilia kama mazuzu ndege kupaki kana kwamba pesa zao hazikutumika katika ununuzi wa ndege hizo!!!
Nimecheka kifala sana ila mimi nitoe humo abaki yeye na wengine 🤣🤣WATANZANIA WENGI UKIWEMO WEWE MNAPASWA KUWA MIREMBE!
WAPINZANI ni wale Walio ndani ya Serikali wanaohakikisha tunashindwa kesi Ili wapate Chao Kutoka hayo makampuni ya nje yenye mkono wa baadhi ya viongozi wa ndani.Fafanua hapo kwenye/ulipoanzia "WAPINZANI"!
Haha..CCM hawana mpango wamelala USINGIZI fofofo.
Kwa nini hujui kama nimeelewa?WAPINZANI ni wale Walio ndani ya Serikali wanaohakikisha tunashindwa kesi Ili wapate Chao Kutoka hayo makampuni ya nje yenye mkono wa baadhi ya viongozi wa ndani.
Sijui umeelewa?
Sababu kwenye comment nzima, ukaona uulize neno WAPINZANI pekee.Kwa nini hujui kama nimeelewa?
Kwa hiyo umeona nimeelewa au nimelewa?Sababu kwenye comment nzima, ukaona uulize neno WAPINZANI pekee.
Jikite kwenye HOJA ndugu, unakoelekea siko!!Kwa hiyo umeona nimeelewa au nimelewa?
Wanadai pesa ililipwa cash Si mkopo, UKWELI ni upi?Mikataba Ile ya ufisadi hata bunge halijawahi Iona sasa lissu atashauri bila kuiona?
Sasa Kodi zetu zinunue ndege Kisha zinapaki bila mpango wowote wa maana,
Halafu wote tumekaa kana kwamba Mali Ile Haina mwenyewe!!
Lissu na CDM watoke way forward, KAZI ya kutekeleza au kupuuza ibaki Kwa Serikali,
Wananchi tutaona, ni nani wa kutufaa kuhusu suala Hilo.
Mafao ya Bunge hayakuwahi kuwa mali ya SamiaIla pesa yake stahili ya mafao ya Bunge alimuomba Shetani na akampa! Ahahahahaha!!
HOFU ya kukamatwa Kwa ndege ndio Hasa sababu ya kuziground...mpango wa serikali ni kuzipaki hizo ndege?
Ni kama tu ndege hizo, hazikuwa Mali binafsi ya Magu Bali za Watanzania.Mafao ya Bunge hayakuwahi kuwa mali ya Samia
Alikuwepo Pia Mwandishi Mmoja wa Habari za Anga na Usafiri wa AngaSalaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.
Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.
Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.
Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.
Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.
Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.
Ahahahahaha!!!Mafao ya Bunge hayakuwahi kuwa mali ya Samia
Wewe haikuumi kama Mwananchi Kodi Yako umenunua ndege Kisha zinapaki na hata hustuki?Maujinga mfanye CCM, msala uwe kwa Lissu?