Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

..serikali hii ya Ccm iko radhi Atcl ife, au ipoteza ndege zote, kuliko kupokea mchango wa Tundu Lissu, au mpinzani yeyote.
Sasa Kodi zetu zinunue ndege Kisha zinapaki bila mpango wowote wa maana,

Halafu wote tumekaa kana kwamba Mali Ile Haina mwenyewe!!

Lissu na CDM watoe way forward, KAZI ya kutekeleza au kupuuza ibaki Kwa Serikali,

Wananchi tutaona, ni nani wa kutufaa kuhusu suala Hilo.
 
Salaam, Shalom!

Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
hi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.
Mikataba hiyo inavunjwa makusudi na serikali inashindwa makusudi ili watu wagawane pesa
 
Lissu na CDM wawalipue Ili tujue kuwa hawashirikiani nao katika UOVU huo.

Maana katika Hali ya kawaida, Haiwezekani ununue chombo Cha USAFIRI Kwa ajili ya biashara Kisha kinapaki Kwa sababu za kesi za michongo.
 
Ndege zile Si Mali ya Hayati Magu, Wala Si Mali ya CCM,

Zile ni Mali ya Watanzania, lazima tupate ufumbuzi wa kudumu Ili ndege zisipaki Kwa HASARA, ziingie kazini, zikatafute watalii na mizigo Dunia nzima tupate faida za kiuchumi.
 
Unalifahamu kundi la mapacha wanne? (Rostam, JK, Makamba na Abduli)
 
Ndege zile Si Mali ya Hayati Magu, Wala Si Mali ya CCM,

Zile ni Mali ya Watanzania, lazima tupate ufumbuzi wa kudumu Ili ndege zisipaki Kwa HASARA, ziingie kazini, zikatafute watalii na mizigo Dunia nzima tupate faida za kiuchumi.
 
Ndege zile Si Mali ya Hayati Magu, Wala Si Mali ya CCM,

Zile ni Mali ya Watanzania, lazima tupate ufumbuzi wa kudumu Ili ndege zisipaki Kwa HASARA, ziingie kazini, zikatafute watalii na mizigo Dunia nzima tupate faida za kiuchumi.
Wenzako walishavuta 20%
 
Sasa Kodi zetu zinunue ndege Kisha zinapaki bila mpango wowote wa maana,

Halafu wote tumekaa kana kwamba Mali Ile Haina mwenyewe!!

Lissu na CDM watoke way forward, KAZI ya kutekeleza au kupuuza ibaki Kwa Serikali,

Wananchi tutaona, ni nani wa kutufaa kuhusu suala Hilo.
Serikali imejaa majangili tupu
 
Chama kikuu Cha upinzani kitoe dira nini kitawafanyia Watanzania katika issue ya ndege zetu zilizopaki Ili zikuze Utalii na tushinde case Ili kupata faida Kwa nchi?
Watanzania walishirikishwa na kuridhia ununuzi wa ndege?
 
Twende mbele,

Pesa yetu imetumika kununua ndege, sasa wewe unaridhika zipaki kama vile pesa Yako haikutumika!!

Huna uchungu na hizo ndege, na haikuumi Nchi inavyoshindwa case na kulipa mabilioni Bure?
 
Back
Top Bottom