Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

Salaam, Shalom!

Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,

Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,

Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.

Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.

Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.

Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.

Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.

Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.
Hata Hivyo kama Kila Jambo la Nchi Hii tukimbebesha yeye atachoka.
Wengine wafanye hili jukumu
 
Haha..
Sasa hawa ndiyo wanatakiwa kuwajibishwa kwanza ili tuweze kusonga mbele kama taifa.

Jitihada zozote za kuwashauri hao ni kupoteza muda, ni kama kupigia mbuzi gitaa.

Siyo wasikivu kwa umma.
Kwa mfano, waliunda tume ya Warioba, ikipatikana rasimu ya Katiba yenye maoni ya wananchi, lakini hadi leo hakuna utashi wa kutekeleza
Kiukweli Mimi sikubali ndege zilizonunuliwa Kwa Kodi yangu tena mpya zipaki bila kufanya KAZI iliyokusudiwa,

Hii ni hujuma.
 
Salaam, Shalom!

Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,

Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,

Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.

Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.

Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.

Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.

Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.

Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.
Mbona mafao yake walionunua ndege walipoyagawana hukuja na maombi ya namna hiyo kwa hao unawaona ni wazalendo kwa kuliingiza taifa kwenye mgogoro unaopelekea kukamatwa kwa hao njiwa?
 
Kuthibiti huu ujinga tunakiwa kutibu chanzo cha tatizo, sio matokeo.
Kwamba tusubiri Hadi CCM itapotoka madarani ndipo tufufue ndege zitakazokuwa zimeshaharibika?

Uzalendo uko wapi hapo?

Si Afadhali ziuzwe tujue Moja.
 
Ndege ziko wapi kwani!!?
Salaam, Shalom!

Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,

Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,

Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.

Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.

Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.

Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.

Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.

Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.
 
Mbona mafao yake walionunua ndege walipoyagawana hukuja na maombi ya namna hiyo kwa hao unawaona ni wazalendo kwa kuliingiza taifa kwenye mgogoro unaopelekea kukamatwa kwa hao njiwa?
Wewe unafurahia ndege ulizonunua kutokana na Kodi ulipayo zipaki bila KAZI?

Kuhusu mafao Lissu atalipwa tu, tunaanza kumnunulia gari kwanza,

Ikibidi hata mafao tutamlipa sie Kwa michango yetu ya buku buku.

Turudi kwenye mada 🙏
 
Ule msemo wa kudai, adui mwombee njaa kwetu hautasaidia,

Wananchi wote CCM, CDM na wasio na vyama, tunalipia ndege zilizopaki bila kufanya KAZI.

Lissu na CDM njooni na mpango MIKAKATI, Ili wananchi tuone tofauti yenu na hao CCM!!
Siyo hao unaowaombea msaada kwa LISU ndio huwa wanashirikiana na wewe kumuita msaliti?

NB;
Hivi ni nani aliyeidhinisha manunuzi ya hao njiwa na lini ili tumuulize ikiwa alizingatia ushauri wa wataalamu au lah!?
 
Umeshaletewa mjukuu tayari,

Sasa kumuuliza Binti Yako kuwa kwanini umeniletea mjukuu saizi ilhali sijawa tayari kuitwa Babu,

Swali Hilo halisaidii chochote.
 
Aisee,.. so! Way forward!??
Tumuombe Lissu asaidie utaalamu Ili tusishindwe kesi, ndege zisikamatwe,

Zianze KAZI kushamirisha Utalii na kubeba mizigo.

Na ikiwa hakuna uwezo kushinda kesi, tuzikodishe au kuzirudisha kuziuza.
 
Ziuzwe tu.
 
Twende mbele,

Pesa yetu imetumika kununua ndege, sasa wewe unaridhika zipaki kama vile pesa Yako haikutumika!!

Huna uchungu na hizo ndege, na haikuumi Nchi inavyoshindwa case na kulipa mabilioni Bure?
Mimi nataka hizo ndege ziuzwe hela yangu irudi, maana imedhihirika hatuna uwezo wa kuziendesha kwa ufanisi.
 
Mwanasheria msomi Tundu Lissu ashauri kwanza kitaalamu,

Wewe yaezakuwa ni dalali unafukuzia Cha juu ukatupoteza🤔
Yeye ni mwanasheria sio mchumi, atashauri vipi suala la kiuchumi?
 
Mimi nataka hizo ndege ziuzwe hela yangu irudi, maana imedhihirika hatuna uwezo wa kuziendesha kwa ufanisi.
Ndio nasemaje,

TUNDU Lissu na CDM watoe maoni ya kizalendo na nini kifanyike kutatua shida hiyo,

Tukikusikiza ndugu Tindo, yaezakuwa wewe ni dalali, unatengeza mazingira ya kutupiga Cha juu,

Naamini Lisu akishauri kitaalamu, wataogopa kutushtaki.
 
Back
Top Bottom