Tundu Lissu: Tukichelewa kuvunja Mkataba na Dubai fedha zote zitachukuliwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Your browser is not able to display this video.

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
 
tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
 
tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Unaweza kukuta mawakili walipigania ndege ikamatwe ni hawa hawa wanaopiga kelele.

N
 
Binafsi naona hata kama wakichukua pesa zote, muhimu tuilinde ardhi yetu, bandari zetu, na utu wetu, vibaki mikononi mwetu watanganyika, hivyo ndivyo vya thamani zaidi tulivyopewa na Mungu.
Wanachukua wanakatiana na akina Samia, mbarawa, majaliwa . Kitenge ataamnulia Dona na wenzake
 
tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Ni mwendo wa kula kupita urefu wa kamba.[emoji56][emoji15][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…