Tundu Lissu: Tukichelewa kuvunja Mkataba na Dubai fedha zote zitachukuliwa

tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
stupid - halafu nini kilifuatia? si lilikuwa changa la macho?
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazidi kuharibu kumuita mama, hakuna cha mama hapa huyu ni Rais. Hahitaji huruma kama za mama bali kama Rais na akikosea ataadhibiwa kama wengine tuu.
Kina Mobutu walikuwa wabishi yaliwakuta, hivyo hivyo kina Mugabe, Zuma nk.
Mkileta umama mtaondoa maana halisi ya urais
mama ni mama mkuu, hata akiwa mwehu.

Mimi awali sikudhani kama naweza mwita "Rais". nilihisi kama urais ni jambo ambalo sio saizi yake.

JESUS IS SAVIOR
 
Usisahau..., haina ridhaa ya wananchi.
Na usidhani hali itakuwa shwari kama ilivyokuwa kabla ya hili tukio.

Samia KWISHA.
Umesahau kuwa azimio linalojadiliwa kama vile ni mkataba limepita bungeni. Wanaharakati mna taabu sana.

JPM alilaumiwa kwamba ananunua ndege bila ya kushirikisha bunge, leo Samia kaanza kupeleka azimio bungeni mnakuja na hadithi nyingine za kwenye vitabu vya kina Willy Gamba eti kwamba lilikuwa lipitishwe kisiri bila ya umma kujua!.

Samia anaruhusu sana demokrasia haoni sababu ya kupita katika njia zile zile alizopita hayati JPM.
 
Haya sasa.
Nitafanya kitu gani na mtu wa aina yako hii?

Unataka nijibu hoja gani katika kioja kama hiki ulichoandika hapa?

"Azimio lilijadiliwa bungeni"?
Hivi kweli unaakili za kudhani ninaweza kupoteza muda wangu kujadili upuuzi wa aina hii?

Ngoja nikuache ulivyo.
 
Pole wewe unayeishiwa hoja na kuja na matusi.
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Profesa Shivji alishapendekeza; Bunge libadili mawazo juu ya Azimio walilopitisha kungali mapema.

Sasa kwa kuwa hawa wenye mradi wao bado wanasema "kelele hawazisikii", ndio watakaosababisha taifa liingie gharama kubwa zaidi huku mbele ya safari.
Hawa nao tuanze kuwatafutia adhabu ya kutuingiza gharama bila ya sababu maalum.
 
Pole wewe unayeishiwa hoja na kuja na matusi.
Kuna hoja gani hapo uliyoiwasilisha kama sio ujinga mtupu wa kutaka kunipotezea muda tu hapa?

Kuna lolote unaloliamini katika hayo uliyoandika hapo?

Kama kuna unaloliamini kwenye hayo maneno, itanibidi nikutambue kuwa huna akili kichwani mwako.

Sijakutukana, lakini huo ndio ukweli wenyewe.
 
Hizi asali walizolamba huenda zikawatokea watu puani, Mwenyezi Mungu hakulifanya taifa la Tanganyika kuwa la watu wa kuonewa na kufanywa mandondocha, tujipe muda.
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Lissu anafikiri akituuza kwa Wabelgiji ndio sahihi. Jamaa ni muongo sana huyu, simuamini hata kidogo.

Kama hukuchelewa kwa kukaa siku zote zile Ubelgiji, jua kuwa hakuna kuchelewa. Usitudanganye!
 
Back
Top Bottom