Tundu Lissu: Tukichelewa kuvunja Mkataba na Dubai fedha zote zitachukuliwa

Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Kweli bora nusu shari kuliko shari kamili wahenga wetu walisema. Mwisho wa kunukuu

Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama kongwe dola wao bado hawajesema kama waishauri Bunge la chama chao kimoja wafute azimio la tarehe 10 June 2023 ili kuinusuru nchi kupigwa mnada kwa deni lisilo himilivu wakichelewa kuvunja mkataba.
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
LISSU always hua anashaur na kutoa angalizo, but hapa watakuja vidampa na machawa wa DP world watammbeza na kumdhihaki!! Uvccm na wenzao ni sikio la kufa!!
 
Vikao vya Kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM vimepigilia msumali hoja hii na kusema Serikali iharakishe mchakato kati yake na DP World haraka sana, ili wananchi wanufaike na uwekezaji huu.
 
nawaza huyu mama tumwadhibuje, sisi kama wananchi.
Tunazidi kuharibu kumuita mama, hakuna cha mama hapa huyu ni Rais. Hahitaji huruma kama za mama bali kama Rais na akikosea ataadhibiwa kama wengine tuu.
Kina Mobutu walikuwa wabishi yaliwakuta, hivyo hivyo kina Mugabe, Zuma nk.
Mkileta umama mtaondoa maana halisi ya urais
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Imeshapata ridhaa ya CCM kinachofuata ni wanasheria wa pande mbili kuingia kwenye majadiliano ya kina ya namna hizo HGAs zitakavyokuwa kwa maana ya wazalendo kufaidika na uwekezaji na maslahi mazima ya nchi kulindwa.

Hao kina Lissu wanatengeneza pesa muda huu kupitia hicho wanachokifanya, ingawa wanajua kuwa hawana nguvu ya kubadili maamuzi ya kiserikali.
 
You know what hii ndio sera ya kuombea kura 2025.tupeni kura tukavunje mkataba wa msovero[emoji3][emoji3]
 
Huyo tapel
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Huyo tapeli ameshachanganyikiwa, acha aburudishe mazuzu wenzake. Hajawahi ongeaga kitu cha maana.
 
tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Duu huku kumejaa mazuzu tupu, yanajitekenya yanacheka yenyewe.
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Fedha zipi tizachukuliwa?

Kuna fedha wapi
 
Dawa uvunjeni uvamizi uitwao muungano , muilete Tanganyika na Zanzibar iwe huru.

Hapo mnaweza kuwaambia DP kuwa mlitiliana saini na Tanzania , sisi si Watanzania ni Watanganyika , waende wakaidai Tanzania
 
tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Deni alilitengeneza nani
 
Imeshapata ridhaa ya CCM kinachofuata ni wanasheria wa pande mbili kuingia kwenye majadiliano ya kina ya namna hizo HGAs zitakavyokuwa kwa maana ya wazalendo kufaidika na uwekezaji na maslahi mazima ya nchi kulindwa.

Hao kina Lissu wanatengeneza pesa muda huu kupitia hicho wanachokifanya, ingawa wanajua kuwa hawana nguvu ya kubadili maamuzi ya kiserikali.
Usisahau..., haina ridhaa ya wananchi.
Na usidhani hali itakuwa shwari kama ilivyokuwa kabla ya hili tukio.

Samia KWISHA.
 
Trying so hard to "push the pressure" .
An activist from a pressure group at his best...😅🤣🤣🤣
Incidentally, sycophants, such as yourself cannot be said to be "at their best"; because they're always at their worst!
 
View attachment 2683822

Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo

Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini

Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Tundu Lisu,tukivunja mkataba tutashitakiwa MIGA 😆😆
 
Binafsi naona hata kama wakichukua pesa zote, muhimu tuilinde ardhi yetu, bandari zetu, na utu wetu, vibaki mikononi mwetu watanganyika, hivyo ndivyo vya thamani zaidi tulivyopewa na Mungu.
Tuna Chuo Cha bandari na Chuo Cha sayansi na Teknolojia halafu tunashindwa kuwasimamia wasomi wetu na kuwajenga kizalendo matokeo yake tunakwenda kujifariji Kwa Waarabu na Wazungu na kuuza Uhuru na usalama wa nchi yetu.

CCM imesahau kuwa waliua watu Mtwara waliokua Wanapinga gesi kupelekwa DSM badala na kuicha Mtwara bila Mitambo ya gesi Kwa kisingizio Cha manufaa ya Taifa na ilani ya CCM. Leo hii chini ya CCM hakuna manufaa tuliyoaahidiwa Kwa maneno matamu yaliyowafanya Watanzania wa mikoa mingine kuwalaumu na kuwakejeli Wamakonde na wamakua kuwa hawajasoma na hawajui chochote.

Leo CCM na serikali yake na kundi lile Lile la walaji na mawakala wa kuuza Rasilimali za nchi wameteka mpaka Bunge na Chama huku wakiruhusu Katiba ya nchi kukiukwa na hata Ile ya Chama.
 
Back
Top Bottom