Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Mtindo wa kula bila kunΓ‘wa...Ndio maana kuna mtu alihoji Ndege Uholanzi ilienda kufanya nini? Au ni Mchongo?
LISSU always hua anashaur na kutoa angalizo, but hapa watakuja vidampa na machawa wa DP world watammbeza na kumdhihaki!! Uvccm na wenzao ni sikio la kufa!!View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Tunazidi kuharibu kumuita mama, hakuna cha mama hapa huyu ni Rais. Hahitaji huruma kama za mama bali kama Rais na akikosea ataadhibiwa kama wengine tuu.nawaza huyu mama tumwadhibuje, sisi kama wananchi.
Imeshapata ridhaa ya CCM kinachofuata ni wanasheria wa pande mbili kuingia kwenye majadiliano ya kina ya namna hizo HGAs zitakavyokuwa kwa maana ya wazalendo kufaidika na uwekezaji na maslahi mazima ya nchi kulindwa.View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Chawa hili swali hawataki kulisikia na kuuliza .na hata lilivyoulizwa hakujawahi kuwa na majibuNdio maana kuna mtu alihoji Ndege Uholanzi ilienda kufanya nini? Au ni Mchongo?
Huyo tapeli ameshachanganyikiwa, acha aburudishe mazuzu wenzake. Hajawahi ongeaga kitu cha maana.View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Duu huku kumejaa mazuzu tupu, yanajitekenya yanacheka yenyewe.tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Huko ni kukosa adabu , yaani mama yako unataka kupa adhabu ?? kijana gani wewe ? huogopi laana ??nawaza huyu mama tumwadhibuje, sisi kama wananchi.
Fedha zipi tizachukuliwa?View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
View attachment 2683822

Deni alilitengeneza nanitayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Ndio hela imelipwa hii!??tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Usisahau..., haina ridhaa ya wananchi.Imeshapata ridhaa ya CCM kinachofuata ni wanasheria wa pande mbili kuingia kwenye majadiliano ya kina ya namna hizo HGAs zitakavyokuwa kwa maana ya wazalendo kufaidika na uwekezaji na maslahi mazima ya nchi kulindwa.
Hao kina Lissu wanatengeneza pesa muda huu kupitia hicho wanachokifanya, ingawa wanajua kuwa hawana nguvu ya kubadili maamuzi ya kiserikali.
Incidentally, sycophants, such as yourself cannot be said to be "at their best"; because they're always at their worst!Trying so hard to "push the pressure" .
An activist from a pressure group at his best...π π€£π€£π€£
Tundu Lisu,tukivunja mkataba tutashitakiwa MIGA ππView attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Tuna Chuo Cha bandari na Chuo Cha sayansi na Teknolojia halafu tunashindwa kuwasimamia wasomi wetu na kuwajenga kizalendo matokeo yake tunakwenda kujifariji Kwa Waarabu na Wazungu na kuuza Uhuru na usalama wa nchi yetu.Binafsi naona hata kama wakichukua pesa zote, muhimu tuilinde ardhi yetu, bandari zetu, na utu wetu, vibaki mikononi mwetu watanganyika, hivyo ndivyo vya thamani zaidi tulivyopewa na Mungu.