Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
stupid - halafu nini kilifuatia? si lilikuwa changa la macho?tayari garama zingine za ndege tushalipa huko. unalipa deni la garama kuliko ndege yenyewe, si wangeiacha tu ndege ichukuliwe? bilioni 400, kwani ndege tulinunua bei gani?
Ila hatukuwa na makosa?Unaweza kukuta mawakili walipigania ndege ikamatwe ni hawa hawa wanaopiga kelele.
N
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini[emoji419][emoji375]View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
mama ni mama mkuu, hata akiwa mwehu.Tunazidi kuharibu kumuita mama, hakuna cha mama hapa huyu ni Rais. Hahitaji huruma kama za mama bali kama Rais na akikosea ataadhibiwa kama wengine tuu.
Kina Mobutu walikuwa wabishi yaliwakuta, hivyo hivyo kina Mugabe, Zuma nk.
Mkileta umama mtaondoa maana halisi ya urais
Sasa huyu ni mama yako au Rais wako?mama ni mama mkuu, hata akiwa mwehu.
Mimi awali sikudhani kama naweza mwita "Rais". nilihisi kama urais ni jambo ambalo sio saizi yake.
JESUS IS SAVIOR
nawaza huyu mama tumwadhibuje, sisi kama wananchi.
Umesahau kuwa azimio linalojadiliwa kama vile ni mkataba limepita bungeni. Wanaharakati mna taabu sana.Usisahau..., haina ridhaa ya wananchi.
Na usidhani hali itakuwa shwari kama ilivyokuwa kabla ya hili tukio.
Samia KWISHA.
Haya sasa.Umesahau kuwa azimio linalojadiliwa kama vile ni mkataba limepita bungeni. Wanaharakati mna taabu sana.
JPM alilaumiwa kwamba ananunua ndege bila ya kushirikisha bunge, leo Samia kaanza kupeleka azimio bungeni mnakuja na hadithi nyingine za kwenye vitabu vya kina Willy Gamba eti kwamba lilikuwa lipitishwe kisiri bila ya umma kujua!.
Samia anaruhusu sana demokrasia haoni sababu ya kupita katika njia zile zile alizopita hayati JPM.
Pole wewe unayeishiwa hoja na kuja na matusi.Haya sasa.
Nitafanya kitu gani na mtu wa aina yako hii?
Unataka nijibu hoja gani katika kioja kama hiki ulichoandika hapa?
"Azimio lilijadiliwa bungeni"?
Hivi kweli unaakili za kudhani ninaweza kupoteza muda wangu kujadili upuuzi wa aina hii?
Ngoja nikuache ulivyo.
Profesa Shivji alishapendekeza; Bunge libadili mawazo juu ya Azimio walilopitisha kungali mapema.View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Unamaanisha ni mama yako?mama ni mama mkuu, hata akiwa mwehu.
Mimi awali sikudhani kama naweza mwita "Rais". nilihisi kama urais ni jambo ambalo sio saizi yake.
JESUS IS SAVIOR
Kuna hoja gani hapo uliyoiwasilisha kama sio ujinga mtupu wa kutaka kunipotezea muda tu hapa?Pole wewe unayeishiwa hoja na kuja na matusi.
Lissu anafikiri akituuza kwa Wabelgiji ndio sahihi. Jamaa ni muongo sana huyu, simuamini hata kidogo.View attachment 2683822
Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo
Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri miaka 10 au 20, fidia itakuwa kubwa na hakutokuwa na Fedha Serikalini
Ikumbukwe kuwa licha ya kuwepo hoja nyingi kutoka kwa Wananchi wa Kawaida, Wanasiasa na Wanasheria kuhusu utata wa Makubaliano hayo, Serikali inaendelea na hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata ridhaa ya Chama Tawala (CCM).
Saa100 amekaa hapo ikulu kama mwanasesere tu unakuta alisema nendeni mkalitazame halafu akaeudi ndani kupaka hinaDuu huku kumejaa mazuzu tupu, yanajitekenya yanacheka yenyewe.