Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
eleza vizuri kwamba kinagaubaga kwamba, sifa ya Tume Huru ya Uchaguzi inapotea pale tu mpinzani anaposhindwa uchaguzi, lakini akishinda uchaguzi hu,Huwezi kuiita Tume Huru ya Uchaguzi kwenye nchi yenye mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa lakini Wakurugenzi na Watendaji wakuu 100% wanatoka chama Tawala na asilimia kubwa ni wateule wa Rais aliyep madarakani.Sifa ya neno HURU inapotea pale tu ambapo asilimia kubwa watendaji wake na wasimamizi wake ni wa chama kimoja cha siasa tena chama dola.
tume hiyo hiyo ni huru, haina kasoro wala dosari, inaongozwa na watu waadilifu wenye mioyo mieupe kama pamba 🐒