suala la imani ya mtu kwamba aamini jambo fulani au asiamini hiyo ni issue binafsi siwezi babaika kumlazimisha yeyeto aamini ninacho amini mimi kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi....
Liko wazi na bayana kabisa hili, tangu tulipoanza uchaguzi wa vyama vingi, na hata leo hii wanao sema si tume huru, ndio hao hao walithibitishwa na tume hii hii huru kwamba ndio washindi wa uchaguzi, wakati huo ilikua huru right?š
so,
mie sidhani kama serikali itababaika hata kidogo kwenye jambo hili, iko hivyo na itakua hivyo regardless nchi nyingine wanafanya tofauti nasi š