Pre GE2025 Tundu Lissu: Tume ya Uchaguzi sio Huru, ni Tume ya Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
eleza vizuri kwamba kinagaubaga kwamba, sifa ya Tume Huru ya Uchaguzi inapotea pale tu mpinzani anaposhindwa uchaguzi, lakini akishinda uchaguzi hu,

tume hiyo hiyo ni huru, haina kasoro wala dosari, inaongozwa na watu waadilifu wenye mioyo mieupe kama pamba πŸ’
 
Hujajibu hoja. Umeongea-ongea tu kiswahili
 
sasa kuna haja gani kubwekabweka na mikelele mingi na porojo kibao,

si muendelee kuinjoy hicho kifungu ulicho nukuu, kwasabb hakuna kinachowezekana miongni mwa vinavyowafanya muwe na mihemko ambayo haina tija yoyote dhidi ya Tume Huru ya UchaguziTz chaguzi,

ambayo inakwenda kusimamia uchaguzi huru, wa wazi na wa haki mapema Oct 2025 bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Siyo anaposhindwa uchaguzi bali Watoa maamuzi wanapofanya kwa makusudi kama walivyofanya 2019 na 2020.Mchezo baina Yanga na Mamelod Sundowns uliochezwa Afrika Kusini tarehe 05/04/2024 ni ushahidi tosha jinsi matokeo ya Uchaguzi yanavyokuwa yamepangwa na watawala.Mamelod na Waafrika Kusini mpaka leo wanakubali kuwa goli la AZIZ KI ni halali ila kuna maelekezo kutoka juu(from nowhere) ambayo yaliwanyima Yanga nafasi ya kupata goli halali.Na haya yamefanyika kwenye chaguzi nyingi Tanzania lakini kiboko yake ni 2019 na 2020.
 
Kubwekabweka ni halali yetu.Halafu wewe siyo mbwa pamoja kwamba nimekujibu kufwatana na kauli yako.Heshimu watu.Tanzania ni yetu.Ogopa kumchafua rais wako kejeli zisizo na tija.Leo Sukuma gang msiba haujaisha kwa sababu ya kauli hizi hizi za kijinga.
 
Hujajibu hoja. Umeongea-ongea tu kiswahili
baki na hoja ulizonazo mfukoni ukadhani visionary minds zitakua trapped kwenye zulia uliloliandaa, wasubiri wenzio πŸ’

Tume Huru ya Uchaguzi inakwenda kusimamia uchaguzi huru, wa wazi na wa haki mapema Oct 2025, bila mbambamba kutoka upande wowote πŸ’
 
Tutaona maneno ya makaratasi na matendo ni vitu tofauti.
 
Tufanye kama Nigeria..kura zihesabiwe hadharani. Haiwezekani tupoteze mabilioni ya shilingi kwenye uchaguzi kisha tuzingue kwenye mchakato mzima wa uchaguzi.
 
Jamani, ndo bado bado anajipanga kuanza shuguri subirini kwanza
 
Kubwekabweka ni halali yetu.Halafu wewe siyo mbwa pamoja kwamba nimekujibu kufwatana na kauli yako.Heshimu watu.Tanzania ni yetu.Ogopa kumchafua rais wako kejeli zisizo na tija.Leo Sukuma gang msiba haujaisha kwa sababu ya kauli hizi hizi za kijinga.
maoni na mtazamo wa wachache dhidi ya mambo mbalimbali humu nchini yataskizwa na kuheshimiwa daima πŸ’

na kwakweli yale ambayo yanawasilishwa kiungwana na kwa lugha za staha na heshima, si tu yanaskizwa bali pia yanachukuliwa, yanachakatwa na pengine kutekelezwa kama ambavyo inaonekana inafaa πŸ’

ni vizuri kujua maoni hayo ya wachache yana wasilishwa kwa watu ambao wako kazini kuwatumikia wanainchi.

sasa haiwezekani unakuja ofsini kwangu, unaleta ushauri, malalamiko au hoja ukiwa na mihemko au ghadhabu, kwa mtu ambae ana majukumu tayari, definitely atakupuuza tu na kuendelea na majukumu yake πŸ’

hayo mengine ya msiba haujaisha, si wewe ulisanabisha au utakae sababisha chochote kwa uhai wa mwanadamu, na wala huna uwezo na chochote kwenye hilo ambalo kwa imani yangu siwezi babaika au kutishwa na wewe πŸ’

Otherwise,
Tume Huru ya Uchaguzi, itausimamia kikamilifu kwa uwazi, usawa na haki uchaguzi mkuu ujao 2025. ni vizuri kujiandaa vyema kwa uchaguzi huo muhimu sana kwa Taifa letu πŸ’
 
Tufanye kama Nigeria..kura zihesabiwe hadharani. Haiwezekani tupoteze mabilioni ya shilingi kwenye uchaguzi kisha tuzingue kwenye mchakato mzima wa uchaguzi.
wazo zuri sana hilo aise,
halafu pia ni rahisi sana hata utekelezeka wake πŸ‘Š
 
Uwezo wa Lissu Kiuchumi wewe na ukoo wako wote mkichanga hamuufikii , hata mkifufua na ndugu zenu waliokufa wachangie hamtamfikia
bila kua kibaraka hawezi mshinda mwanangu wa2 kiuchumi achilia mbali wa 1🀣

acha na mimi leo nibishane kitoto sasa πŸ’
 
Nonsense. Unajadili watu badala ya hoja.
 
Ukimaliza kuongea Yote tunaomba uchangie kuhusu Tume ya Uchaguzi maana Najua kuwa Huna Na huwezi kuchangia Chochote
 
KWenye hili naomba Nipingane na wewe..
Tanzania hatuna Tume Huru Endapo Mgombea Wa urais (Mmoja ya wagombea) Ndio Anayechagua Tume na Tume iko chini yake..

Tume Huru wakati Tamisemi "Serikali" Ndo inasimamia Uchaguzi wa Serkali za Mitaa..?

Kuhusu Kuwa Huru kwa Jina Kweli jina lake limeitwa Tume huru...Je iko Huru??

Mimi ninaweza kuita au kuandika Tanzania Ni Nchi tajiri na TunaIzidi Dollar kwa Thamani ila je Kiuhalisia Tunaizidi Dollar??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…