DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mkuu Umebahatika Kusoma Report ys Uchaguzi ya waangalizi wa Uchaguzi kila uchaguzi Mkuu???eleza vizuri kwamba kinagaubaga kwamba, sifa ya Tume Huru ya Uchaguzi inapotea pale tu mpinzani anaposhindwa uchaguzi, lakini akishinda uchaguzi hu,
tume hiyo hiyo ni huru, haina kasoro wala dosari, inaongozwa na watu waadilifu wenye mioyo mieupe kama pamba π
Tume huru ya uchaguzi ilikuwa inahitajika kabla ya chadema kukubali kufanya kazi na samia sasa kila kitu kitashindikana na imekuwa muhali sasa Mbowe kumsema RaisUkimaliza kuongea Yote tunaomba uchangie kuhusu Tume ya Uchaguzi maana Najua kuwa Huna Na huwezi kuchangia Chochote
Mlisema maalim seif alikuwa anatumiliwa na ccm sasa muda umefika kwa chama chenu mnatia ulimi puani, tume huru ya uchaguzi ni ndoto mana sasa imekubwa ni muhali chadema kumsema ama kukosoa kwa rais, mbowe yupo ikulu muda woteNonsense. Unajadili watu badala ya hoja.
ndiyoMkuu Umebahatika Kusoma Report ys Uchaguzi ya waangalizi wa Uchaguzi kila uchaguzi Mkuu???
ila ndani ya ccm wajinga ni wengi sana yaani unajaribu kufanya ubatizo wa jina wakati matendo ni yaleyale
View: https://youtu.be/ljxewLnNRZY?si=tkKVfn11d4uoRAHH
Wenye tume yao wameipachika jina la Kingereza wakidhani ndio itakuwa huruππ
Inasikitisha sanaila ndani ya ccm wajinga ni wengi sana yaani unajaribu kufanya ubatizo wa jina wakati matendo ni yaleyale
Hata akiisoma ataielewa?Mkuu Umebahatika Kusoma Report ys Uchaguzi ya waangalizi wa Uchaguzi kila uchaguzi Mkuu???
Acha porojo jikite kwenye madaMlisema maalim seif alikuwa anatumiliwa na ccm sasa muda umefika kwa chama chenu mnatia ulimi puani, tume huru ya uchaguzi ni ndoto mana sasa imekubwa ni muhali chadema kumsema ama kukosoa kwa rais, mbowe yupo ikulu muda wote
Well recorded for future referenceHongera sana Mh Lissu , hongera CHADEMA.
suala la imani ya mtu kwamba aamini jambo fulani au asiamini hiyo ni issue binafsi siwezi babaika kumlazimisha yeyeto aamini ninacho amini mimi kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi....KWenye hili naomba Nipingane na wewe..
Tanzania hatuna Tume Huru Endapo Mgombea Wa urais (Mmoja ya wagombea) Ndio Anayechagua Tume na Tume iko chini yake..
Tume Huru wakati Tamisemi "Serikali" Ndo inasimamia Uchaguzi wa Serkali za Mitaa..?
Kuhusu Kuwa Huru kwa Jina Kweli jina lake limeitwa Tume huru...Je iko Huru??
Mimi ninaweza kuita au kuandika Tanzania Ni Nchi tajiri na TunaIzidi Dollar kwa Thamani ila je Kiuhalisia Tunaizidi Dollar??
Sijakuelewa Ulichoandika MkuuTume huru ya uchaguzi ilikuwa inahitajika kabla ya chadema kukubali kufanya kazi na samia sasa kila kitu kitashindikana na imekuwa muhali sasa Mbowe kumsema Rais
Zinasemaje Shida yetu kwenye Uchaguzi ni nini?ndiyo
Mkuu mimi sijazungumzia Kubabaika kwa serkali au Kutingishika kwa Serkali ila Ninachozungumzia kikp Huru kabisa ni kuhusu Hiyo TUME huru ya uchaguzi..suala la imani ya mtu kwamba aamini jambo fulani au asiamini hiyo ni issue binafsi siwezi babaika kumlazimisha yeyeto aamini ninacho amini mimi kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi....
Liko wazi na bayana kabisa hili, tangu tulipoanza uchaguzi wa vyama vingi, na hata leo hii wanao sema si tume huru, ndio hao hao walithibitishwa na tume hii hii huru kwamba ndio washindi wa uchaguzi, wakati huo ilikua huru right?π
so,
mie sidhani kama serikali itababaika hata kidogo kwenye jambo hili, iko hivyo na itakua hivyo regardless nchi nyingine wanafanya tofauti nasi π
hata hivyo,
by the way maeneo mengi duniani Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi anateuliwa na Rais baadaa ya kuthibitika kwamba ana vigezo vyote kushika wadhifa huo.π
EAC observers waliona dosari kwa vyama vya kisiasa jinsi ya kulalamikia kutoridhishwa kwao na kushindwa uchaguzi πZinasemaje Shida yetu kwenye Uchaguzi ni nini?
Ireland mbona mbali sana,Mkuu mimi sijazungumzia Kubabaika kwa serkali au Kutingishika kwa Serkali ila Ninachozungumzia kikp Huru kabisa ni kuhusu Hiyo TUME huru ya uchaguzi..
Unaweza kunitajia Hizo Nchi as Far as I know Mchi nyingi Except Tanzani huwa Kuna Body Maalumu Huteua Mwenyekiti Na body Hiyo Huwa Huru Ambayo Inatokana na Majaji na Jaji mkuu..
Ndiyo Huteua..
Baadae Huapisha na Jaji mkuu..
Kwa mfano Judicial Service Commission Board Ambayo ilo Ireland..
Pia canada wanafanya hivyo India na kwingine kote..
NIonyeshe Nchi 7 tu tofauti na Tanzania Ambayo Mwenyekiti anachaguliwa na Rais
daini tume yenu huru ya uchaguziAcha porojo jikite kwenye mada
Hivi wewe zinakutosha kweli,eti Lissu alimualika Rais kwenda Ubelgiji,hii ni akili au matope,yaani mtu yuko uhamishoni then amuite rais wa nchi aliyotoka na huyo rais aje kweli?
Punguza stress. Zitakuua.
Tusubiri nini tena, asali tamu sanaJamani, ndo bado bado anajipanga kuanza shuguri subirini kwanza
Unajipa moyo, picha zinaelezaAnapofanya vizuri sio vibaya akasifiwa na kutiwa moyo ili afanye vizuri zaidi.
Chadema sio wanafiki akifanya vibaya wanamkumbusha tena kwamba hapa Mama sio poa.
Na huo ndio uungwana