Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe

Mjomba wako achokoze watu huko, usakizie Lissu aliposema mtashtakiwa alikoma kuwajua iweje leo ukamsakizie, tupitie kwanza tocha tukatambike ndege itarudi tuu.
 
Atatumia ujuzi gani wakati ndio anafurahia ndege kukamatwa wakati mwingine usikute ndio wanawaelekeza wao hao wakamataji wa ndege soma humu chini jinsi nyumbu wanavyokometi kwa kufuraha
 

Hukumuona kabudi juzi kapewa nafasi. Bado yupo usimtue mzigo.
 
kwanza aliesababisha pipa letu lidakwe ndio wa kupewa lawama zote, pili.. hakunaga janja janja kweny ishu ya madai au mkataba, deni lilipwe effectively!!
 
kwanza aliesababisha pipa letu lidakwe ndio wa kupewa lawama zote, pili.. hakunaga janja janja kweny ishu ya madai au mkataba, deni lilipwe effectively!!
Siyo mara kwanza ndege kukamatwa na kuachiwa, kwa nini hii haiachiwi?
 
Wewe kiroboto wewe!! nani akubali kuwapa ujiko CDM? kwani kabundi katumbuliwa? Kutokuwepo serikalini ni kuwa hakusomeshwa na kodi yako! Kiroboto kunguni wahead!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…