Kwenye vita lazima adui umpe ujumbe kuwa wewe sio mnyongeHapa Lissu kapotea!
Umkabili Samia kwenye uchaguzi wenye tume ile ile iliyojaa maafisa vipenyo wa serikali wenye viapo vya utii kwa rais??
Wakurugenzi na PoliCCM wanalinda vibarua vyao unatarajia ushindi gani?
Hapo baada ya uchaguzi tutarajie wimbo ule ule wa miaka yote "TUMEIBIWA" halafu inapita miaka mingine mitano mnajiingiza kwenye igizo hili linaoitwa uchaguzi.
CHADEMA walitakiwa wasusie uchaguzi huu bila tume huru na mfumo mpya wa kueleweka.
Kususa nikumpa adui muda zaidi wakuendelea kukutesa.Dawa ni kupambana naye hivyo kwasababu muda wa ushindi huwezi kuujua.Unaweza ukasusa kumbe ndio siku ngome ya adui inaanguka.Hapa Lissu kapotea!
Umkabili Samia kwenye uchaguzi wenye tume ile ile iliyojaa maafisa vipenyo wa serikali wenye viapo vya utii kwa rais??
Wakurugenzi na PoliCCM wanalinda vibarua vyao unatarajia ushindi gani?
Hapo baada ya uchaguzi tutarajie wimbo ule ule wa miaka yote "TUMEIBIWA" halafu inapita miaka mingine mitano mnajiingiza kwenye igizo hili linaoitwa uchaguzi.
CHADEMA walitakiwa wasusie uchaguzi huu bila tume huru na mfumo mpya wa kueleweka.
Dakika 90 ndio zitakazoamua.Bado ni mbali sana kuongea chochote.kauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.
Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
Jibu swali,anaishi Kwa saisa akishindwa Urais atafanya kazi gani?We jamaa unamchukuliaje Lissu
Mwenda kuzimu aliishia kuchomoka betri la tiger sembuse wewe unaetoa hewa chafu kwenye jicho la tatu?Bora ungegombea ubunge uwe na mchanango wa maana Bungeni ila huku kwenye Urais si tuu hutapata kura za kutosha Bali ndio itakuwa mwisho wa siasa zako.
Yule ni Mwanasheria Nguli mwenye heshima zakeJibu swali,anaishi Kwa saisa akishindwa Urais atafanya kazi gani?
Mkuu matusi ya nini kwenye uzi wangu?Mwenda kuzimu aliishia kuchomoka betri la tiger sembuse wewe unaetoa hewa chafu kwenye jicho la tatu?
Muogope MUNGUShujaa Magufuli walimkabili kwa kupata Mbunge mmoja? πππ
Sisi tunamtegemea Mungu. Tunaamini Giza haiwezi kuishinda NuruKususa nikumpa adui muda zaidi wakuendelea kukutesa.Dawa ni kupambana naye hivyo kwasababu muda wa ushindi huwezi kuujua.Unaweza ukasusa kumbe ndio siku ngome ya adui inaanguka.
Unafikiri watu wapo mpirani?Dakika 90 ndio zitakazoamua. Bado ni mbali sana kuongea chochote.
Njia pekee ya kuleta chaguzi huru ni hadi yatokee kama ya Kenya 2007/2008Kususa nikumpa adui muda zaidi wakuendelea kukutesa.Dawa ni kupambana naye hivyo kwasababu muda wa ushindi huwezi kuujua.Unaweza ukasusa kumbe ndio siku ngome ya adui inaanguka.
Wako wapi Dada wa kula vitu haramu?Unafikiri watu wapo mpirani?
HahahaNjia pekee ya kuleta chaguzi huru ni hadi yatokee kama ya Kenya 2007/2008
Sikuelewi unachoongea. Kasome vitabu ujuwe haramu na halali.Wako wapi Dada wa kula vitu haramu?
Kwani uchaguzi ulifanyika 2020??Shujaa Magufuli walimkabili kwa kupata Mbunge mmoja? πππ
Sijui kama atakujibuKwani uchaguzi ulifanyika 2020??
Unajitahidi kwa uandishi ulio nyooka kidogo; ingawa uliniudhi sana kwa ile lugha yenu ya huko mlikotoka. Unapokubali kuwa mtu wa hapa, basi huko kwingine achana nako kabisa.Mwaka 2025 ni Mwaka wa Ukombozi, hakuna mwaka mwingine,
Mkuu 'Erythro', Tundu Lissu kajibu swali ambalo nimekuwa nikiuliza hapa JF kwa karibu mwaka mzima sasa bila ya kupata jibu la kueleweka. Yeye kalijibu swali hilo hilo kwa sekunde chache tu! Swali na jibu vinahusu uchaguzi wa serikali za mitaa, na hata ule wa wabunge na rais hapo mwakani. Kaeleza wazi kwamba CCM wamo kazini kutumia njia zile zile walizo zizoea kwenye chaguzi zote, na jibu lake kalitoa bila ya kumung'unya maneno.Alipigwa spana hadi betri iligoma
Endelea na ndoto hiyo hiyo inayo kufurahisha wewe!Bora ungegombea ubunge uwe na mchanango wa maana Bungeni ila huku kwenye Urais si tuu hutapata kura za kutosha Bali ndio itakuwa mwisho wa siasa zako.