Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mimi Mkuu, wala hujakosea.Utaniwia radhi sana kama nimekuchanganya na mnyarwanda mmoja humu aliyeleta tabia za huko kwao na kubandika lugha yao kwenye jukwaa hili wiki chache zilizo pita akijibishana na mkuu 'imhotep'.
Kitu pekee kinachoweza kumvurugia Tundu Lissu kwa sasa hivi ni CHADEMA tu basi!
🤣🤣🤣🤣Shujaa Magufuli walimkabili kwa kupata Mbunge mmoja? 😄😄😄