Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

Utaniwia radhi sana kama nimekuchanganya na mnyarwanda mmoja humu aliyeleta tabia za huko kwao na kubandika lugha yao kwenye jukwaa hili wiki chache zilizo pita akijibishana na mkuu 'imhotep'.

Kitu pekee kinachoweza kumvurugia Tundu Lissu kwa sasa hivi ni CHADEMA tu basi!
Ni mimi Mkuu, wala hujakosea.
Nilikuwa natania tu na ndugu yangu Imhotep
 
Back
Top Bottom