Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!


Sifongo,mimi sioni kama Raisi JK ana NIA YA DHATI ya sisi wananchi kupata KATIBA ya Watanzania wote bila kujali itikadi kisiasa za wananchi, kwani suala hili kwanza halikuwa kwenye manifesto ya CCM wala ILANI ktk uchaguzi mkuu uliopita(2010).Hili lilikua la chama cha CDM ambao naamini waliishajipanga vizuri kukabiliana nalo na kulitimiza ipasavyo.

Kwa vyovyote vile itakuwa vigumu sana kwa serikali ya CCM kutimiza matakwa ya Ukweli na Uwazi katika mchakato huu mzima bila KUUCHAKACHUA ili uendane na itikadi za chama chao cha CCM bila kujali kuwa KATIBA ni ya mawazo na mapendekezo ya wananchi na si ya chama chochote cha siasa.Kwani sioni kuwa amejipanga kukabiliana na wabunge wenye msimamo mkali wa chama chake CCM ambao ki-ukweli tangu awali hawakuwa na nia ya kufanyika kwa mchakato ya Katiba Mpya

Hata hotuba yake ya juzi kwa Taifa siamini mambo ya kuambiwa na wasaidizi wake hakuona kuwa yameleta mtafaruku bungeni na hakuona sababu za wabunge wa upinzani wao kutoka nje kikao cha bunge ili wasijadili MUSWADA mmbovu wenye uwelekeo wa kupedelea maoni ya chama tawala na si maoni ya wananchi wote(Watanzania)
Kwa hapa tulipofikia tuombe Mungu sana NINA WASIWASI..........!!!!!!!!!
 
Halaf kuna haja ya KU-ERADICATE watu kama LISU kwa maslah mapana ya taifa..
Siku zote amekuwa akionyesha dharau ya wazi na makusudi kwa WAZANZIBAR kisa kikiwa ni UISLAM wao.
Leo hii amekuwa ndio msemaji wa wazanzibar kwa sababu tu anawahitaji.
Uzandiki wake wa kutaka kufarakanisha taifa kwa misingi ya dini umefikia mahali pa kutovumilika.TEC na CCT ni miongoni mwa taasisi zilizoshirikishwa lakini anataka tuelewe tofauti.
Wanasiasa kama huyu wanapoteza kabisa haki ya,kuendelea kuishi kana wanasiasa.
When bange drives the brain of a political leader, the followers wil also be driven by BANGE
 

Lissu hawa magamba hawapiti kwenye Tundu!
 

Mnafikiri kama watoto wadogo. Hamjui kuwa Serikali nzima nje na ndani ya bunge ina ripoti kwa Kikwete?

Hivi nyinyi mnazo haswa?
 
Tundu hakuitaja hiyo, jiulize kwanini?

HakunA taasisi yyt ya walemavu iliyompendekeza MB Al Shaimar Kwegir awawakilishe maana alikuwa tayari MBUNGE wa Jamhuri la Muungano.

JK anapotulisha maneno ya uongo kuwa kila aliyependekezwa na taasisi zao aliteuliwa anazidi jivunjia heshima!Mbona wajumbe waliopendekezwa na taasisi ya walemavu wote WALIACHWA akateua anayemtaka yy?

JK haaminiki na asihusike hata kidogo kwenye teuzi wa wajumbe 166 wa Bunge la Katiba;JK asituvurugie katiba yetu!
 

Lissu hana ubavu wa kumuelekeza Raisi nini afanye na katika kumuamini Raisi si Lissu wala chama chake wanaomuamini ni kauli ya kijeuri tu na wala hawajawahi kumuani na bora waendelee kutofautiana. Sidhani kama Kikwete anahitaji kuaminiwa na Lissu and etal na kama atasikiliza maneno haya ya kifedhuli ya huyu jamaa atakuwa hajawatendea haki watanzania wengi waliomchagua na kumuunga mkono.

Wananchi hawana mbungi sema wanasiasa ndio mmejitwika kazi zisizokuwa zenu katika kuandaa katiba bora na wananchi wengi sio wanachama wa vyama vyenu wako wanachapa kazi ya kujenga taifa.
 
Tundu hakuitaja hiyo, jiulize kwanini?

nafikiri ni kwa sababu kuna mzozo miongoni mwa waislam wenyewe kuhusu uhalali wa BAKWATA kuwawakilisha, tofauti na ilivyo kwa wakristo kuhusu TEC na CCT;
au wewe unaonaje?
 
Rais ana nia njema sana ula nina mashaka makubwa sana na washwaauri wake, Washauri wa rais wanatakiwa kuwa makini sana na mustakabali wa hii nchi yetu, kinyume na hivyo Ccm ndio itakuwa ya kwanza kuharibu amani yetu

Kwa hiyo unataka kusema Rais hatumii akili yake bali ya washauri wake !!?

Washauri kazi yao ni kushauri. Rais anatakiwa achambue mwenyewe!!
 

Wazanzibar wana haki sawa ya kushirikishwa ili waamue hatima yao wenyewe regardless tunawapenda au hawapendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…