Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,108
Ts ur our icon
kutojuana umri taabu kweli, we utakuwa std 6. Hata Lameck Airo mbunge wa maCCM kule Rorya na std 7 yake kakuzidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ts ur our icon
Lissu mungu akujalie maisha marefu!
Hotuba ya Kikwete haina jipya! Better listen to Khadija Kopa's taarab songs!! tehe tehe tehe!
Unafiki na uzandiki maana yeke nini?......nijuavyo mnafiki ni mtu muongo anayechukua maneno huku na kuyapeleka huku,uzandiki sijui.......kumuita Tundu Lissu hayo majina sijui kama kweli mheshimiwa hapo kashauriwa vizuri,mwisho wa siku itakuja dhihirika Lissu alikuwa sahihi kama anavyojieleza sasa huko makao makuu ya CDM na Mh.Rais atabaki na soni,JK ana nia nzuri na katiba mpya lkn wenzake ndani ya chama hawana so asiwasikilize 100% maana hawana dhamira ya kweli,ngoja Tundu Lissu amalize press yake raia tuchuje,yupi mnafiki na mzandiki,Lissu au washauri wa Mh.Rais?
Hizo ndio zenu kila siku yakiwaingia, muulie Tundu kwanini kaitisha press conference?
Wakuu kamanda Lissu anafanya press, sasa hivi Makao Makuu ya Chadema na haya ndiyo amezungumza;
- Wadau wa Zanzibar hawajashirikishwa hata kidogo na hawakuwepo kwenye ratiba ya Kamati.
- Kamati ilipanga kwenda Zanzibar kutembea na sio kuonana na wadau, kwa sabab walitakiwa pkutembelea miradi ya TASAF, OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA OFISI YA BUNGE.
- Wakakataa na kuomba kwa katibu wa Bunge kuwaona wadau wa Zanziba, Katibu wa Bunge alikubali.
- Walitengeneza orodha ya wadau.
- Yalianza maneno pembeni kuwa hakuna usalama Zanzibar wakati huohuo Kamati ya Ulinzi na Usalama ilikuwa Zanzibar.
- Wakazuiliwa kwenda na hivyo hakuna mdau wa Zanzibar aliyehusishwa.
- Kama haya ni makosa uzandiki na unafiki unatoka wapi wakati hoja ya kwenda Zanzibar yeye aliyeitoa?
Nitaendelea kuwapa update
- Kama hakuna ulazima kwa mujibu wa kanuni kwenda Zanzibar ofisi ndogo za Bunge Zanzibar zina maana gani, kwa hili rais amepotoka na hajui analolifanya.
- Hawajawahi kukutana na mjumbe wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, na hata M/sheria amekiri.
UTEUZI KWENYE TUME YA KATIBA
- Hoja ni mamlaka ya Rais kuteua wajumbe 166
- Walipinga 2011 Ikaondolewa na wakairudisha tena kwenye muswada huu
- Uteuzi wa wajumbe wa Tume usilinganishwe na uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba. Ushahidi wa TEC , CCT na Shirikisho la walemavu kutoteuliwa pamoja na kupeleka majina kwa Rais ulitolewa kwenye Kamati ya Bunge, uongo wake unatoka wapi?
- Shirikisho la walemavu halikumpendekeza Al Shaimar Kwegir na hivyo Rais aliteua watu alkyewaona yeye wanafaa. Uongo unatoka wapi?
Maneno ya Rais,
- Hatamuita mzindiki, mnafiki wala mwongo ila ametoa hitimisho kwa maneno ya sikia sema (hearsay) kwa sababu ametumia maneno "nimeambiwa, nimesikia na nimejulishwa" mara tisa kwenye hotuba yake.
Kuhusu kuwa na mazungumzo ya pamoja;
- Kama ana nia njema basi asiusaini muswada na Katiba inamruhusu kufanya hivyo.
- Akiusaini ataendekeza mambo ya kiccm na hana haja ya kuaminiwa tena.
- Kamati ya Sheria na Utawala ya Bunge inakutana kuanzia kesho na hivyo anasubiri sheria husika iliyopitishwa kinyemela kurudishwa Bungeni.
Mwisho. Anakaribisha maswali;
- Ukiwa na mchakato mbovu yatatokea mambo kama ya Zimbabwa miaka 16 ndiyo ikapata Katiba na Kenya miaka 11 ndipo wakapata Katiba, kwa sababu mwanzoni hakukuwa na mchakato shirikishi.
- Wanachokifanya CCM sasa ndicho walichokifanya KANU kule Kenya
- Wananchi hawatanyamaza kamwe katika mchakato huu.
Porojo ni za nani kati ya "aliyeambiwa" na "aliyekuwepo"? Hapo wewe unamwimini aliyeambiwa halafu hakuchanganya na za kwake, pole FF.
Ndio maana wengine tuliikandia ile hotuba muda ule ule, ni porojo na hadithi za ki-CCM wakati wengine tuko very serious na mustakabali wa Tanzania na vizazi vijavyo vya watoto.
Nikuulize swali, kwa mujibu wa vijembe na mipasho lukuki ya JK (rejea hotuba husika) dhidi ya Upinzani na hasa CHADEMA (read Lissu) je ni kwa vipi alipenyeza "ushauri" wake kuwa ule muswada urudi Bungeni? Maana kama hakuona dosari za mchakato mzima je ni kwanini anaurudisha tena Bungeni?
Lakini hata Bwakata litashirishwa wewe mdini
huyo ni muongo tu hata aitishe press conference ya dunia nzima. Tec na cct wameshirikishwa au hawakushirikishwa?
Tundu hakuitaja hiyo, jiulize kwanini?
Tundu hakuitaja hiyo, jiulize kwanini?
I love you baby
Akili za Bavicha upeo wako ndiyo ulipoishia.
Wakuu kamanda Lissu anafanya press, sasa hivi Makao Makuu ya Chadema na haya ndiyo amezungumza;
- Wadau wa Zanzibar hawajashirikishwa hata kidogo na hawakuwepo kwenye ratiba ya Kamati.
- Kamati ilipanga kwenda Zanzibar kutembea na sio kuonana na wadau, kwa sabab walitakiwa pkutembelea miradi ya TASAF, OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA OFISI YA BUNGE.
- Wakakataa na kuomba kwa katibu wa Bunge kuwaona wadau wa Zanziba, Katibu wa Bunge alikubali.
- Walitengeneza orodha ya wadau.
- Yalianza maneno pembeni kuwa hakuna usalama Zanzibar wakati huohuo Kamati ya Ulinzi na Usalama ilikuwa Zanzibar.
- Wakazuiliwa kwenda na hivyo hakuna mdau wa Zanzibar aliyehusishwa.
- Kama haya ni makosa uzandiki na unafiki unatoka wapi wakati hoja ya kwenda Zanzibar yeye aliyeitoa?
Nitaendelea kuwapa update
- Kama hakuna ulazima kwa mujibu wa kanuni kwenda Zanzibar ofisi ndogo za Bunge Zanzibar zina maana gani, kwa hili rais amepotoka na hajui analolifanya.
- Hawajawahi kukutana na mjumbe wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, na hata M/sheria amekiri.
UTEUZI KWENYE TUME YA KATIBA
- Hoja ni mamlaka ya Rais kuteua wajumbe 166
- Walipinga 2011 Ikaondolewa na wakairudisha tena kwenye muswada huu
- Uteuzi wa wajumbe wa Tume usilinganishwe na uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba. Ushahidi wa TEC , CCT na Shirikisho la walemavu kutoteuliwa pamoja na kupeleka majina kwa Rais ulitolewa kwenye Kamati ya Bunge, uongo wake unatoka wapi?
- Shirikisho la walemavu halikumpendekeza Al Shaimar Kwegir na hivyo Rais aliteua watu alkyewaona yeye wanafaa. Uongo unatoka wapi?
Maneno ya Rais,
- Hatamuita mzindiki, mnafiki wala mwongo ila ametoa hitimisho kwa maneno ya sikia sema (hearsay) kwa sababu ametumia maneno "nimeambiwa, nimesikia na nimejulishwa" mara tisa kwenye hotuba yake.
Kuhusu kuwa na mazungumzo ya pamoja;
- Kama ana nia njema basi asiusaini muswada na Katiba inamruhusu kufanya hivyo.
- Akiusaini ataendekeza mambo ya kiccm na hana haja ya kuaminiwa tena.
- Kamati ya Sheria na Utawala ya Bunge inakutana kuanzia kesho na hivyo anasubiri sheria husika iliyopitishwa kinyemela kurudishwa Bungeni.
Mwisho. Anakaribisha maswali;
- Ukiwa na mchakato mbovu yatatokea mambo kama ya Zimbabwa miaka 16 ndiyo ikapata Katiba na Kenya miaka 11 ndipo wakapata Katiba, kwa sababu mwanzoni hakukuwa na mchakato shirikishi.
- Wanachokifanya CCM sasa ndicho walichokifanya KANU kule Kenya
- Wananchi hawatanyamaza kamwe katika mchakato huu.
Tundu hakuitaja hiyo, jiulize kwanini?
Rais ana nia njema sana ula nina mashaka makubwa sana na washwaauri wake, Washauri wa rais wanatakiwa kuwa makini sana na mustakabali wa hii nchi yetu, kinyume na hivyo Ccm ndio itakuwa ya kwanza kuharibu amani yetu
Halaf kuna haja ya KU-ERADICATE watu kama LISU kwa maslah mapana ya taifa..
Siku zote amekuwa akionyesha dharau ya wazi na makusudi kwa WAZANZIBAR kisa kikiwa ni UISLAM wao.
Leo hii amekuwa ndio msemaji wa wazanzibar kwa sababu tu anawahitaji.
Uzandiki wake wa kutaka kufarakanisha taifa kwa misingi ya dini umefikia mahali pa kutovumilika.TEC na CCT ni miongoni mwa taasisi zilizoshirikishwa lakini anataka tuelewe tofauti.
Wanasiasa kama huyu wanapoteza kabisa haki ya,kuendelea kuishi kana wanasiasa.
When bange drives the brain of a political leader, the followers wil also be driven by BANGE