Unafiki na uzandiki maana yeke nini?......nijuavyo mnafiki ni mtu muongo anayechukua maneno huku na kuyapeleka huku,uzandiki sijui.......kumuita Tundu Lissu hayo majina sijui kama kweli mheshimiwa hapo kashauriwa vizuri,mwisho wa siku itakuja dhihirika Lissu alikuwa sahihi kama anavyojieleza sasa huko makao makuu ya CDM na Mh.Rais atabaki na soni,JK ana nia nzuri na katiba mpya lkn wenzake ndani ya chama hawana so asiwasikilize 100% maana hawana dhamira ya kweli,ngoja Tundu Lissu amalize press yake raia tuchuje,yupi mnafiki na mzandiki,Lissu au washauri wa Mh.Rais?