Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The man z the proud of Tanzania....ni kielelezo cha IQ ya mtanzania......kama watanzania wote tukitumia elimu zetu kwa kuyaweka maslahi ya nchi yetu mbele kama TL nchi yetu itaheshimika ndani na nje.....leo akina kagame na wengine wanafikia mpaka kutoa matusi kwa rais wetu kwa sababu ya watawala kushindwa tumia akiri linganifu na za mtanzania kujiongoza na kuongoza taifa.......ubora wa tundu lisu si ndani ya bunge pekee bali hata nje ya bunge.....refer kesi alizoshinda mahakamani.......jamaa ni jembe
Enendeni pamoja na wenye hekima nanyi mtakuwa na hekima mwenye hekima ulipwa mema...jitaidini kutafuta ushaidi na ukweli daima utawafanya washindi.
Superman lissu!
Mkuu elimu gani alokuwa nayo Lisu na wewe?
kama ya naniii yako
Isome hansard.
Mkuu big_in kwani ubao wa kuandikia hausomeki vizuri au labda una matatizo na mach yako? Kwani kuna kitu gani hakisomeki ktk hii issue? Hapa tunaangalia performance na delveries!! Sisi watanzania tumebakia kuangalia eti huyu an Phd au makaratatasi gani au ana elimu gani huu ni UJINGA MTUPU KABISA! Sasa et wewe unauliza elimu ya Lisu ili iweje? Angalia performance yake na deliveries inatosha tu. Watanzania wamechoshwa na Phds za Kariakoo au kupewa eti ni Dr. blaaaaaaaaa kama hao wenzenu. Angalia nchi za wenzenu wanaosonga mbele hawaendi kununua Phds etc. Jiulize hao wanasheria wengine wako wapi? Wamelala wapi wakati mambo yanakwenda kombo? Wanasheria wa katiba wako wapi wengine tunawajua lkn sasa kimya utafikiri wameihama nchi. ni hayo ndugu yangu, kwani njia bado ni ndefu kwa watanzania!

Hahaha umenifurahisha