Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

The man z the proud of Tanzania....ni kielelezo cha IQ ya mtanzania......kama watanzania wote tukitumia elimu zetu kwa kuyaweka maslahi ya nchi yetu mbele kama TL nchi yetu itaheshimika ndani na nje.....leo akina kagame na wengine wanafikia mpaka kutoa matusi kwa rais wetu kwa sababu ya watawala kushindwa tumia akiri linganifu na za mtanzania kujiongoza na kuongoza taifa.......ubora wa tundu lisu si ndani ya bunge pekee bali hata nje ya bunge.....refer kesi alizoshinda mahakamani.......jamaa ni jembe
 
Vigezo gani mkuu!au thinking capacity yako ndio imefika mwisho!
 
Anaweza ng'ollewa mdomo magamba hawaaminiki.
 
The man z the proud of Tanzania....ni kielelezo cha IQ ya mtanzania......kama watanzania wote tukitumia elimu zetu kwa kuyaweka maslahi ya nchi yetu mbele kama TL nchi yetu itaheshimika ndani na nje.....leo akina kagame na wengine wanafikia mpaka kutoa matusi kwa rais wetu kwa sababu ya watawala kushindwa tumia akiri linganifu na za mtanzania kujiongoza na kuongoza taifa.......ubora wa tundu lisu si ndani ya bunge pekee bali hata nje ya bunge.....refer kesi alizoshinda mahakamani.......jamaa ni jembe

Mkuu elimu gani alokuwa nayo Lisu na wewe?
 
LISSU ni TUNDU ambalo CCM wameshindwa kuliziba,mungu akulinde mwanasheria wa taifa usikumbane na hila za bomu la MWIGULU maana nasikia ameenda kulinunua huko ughaibuni aliko.....!
 
Mkuu elimu gani alokuwa nayo Lisu na wewe?

Mkuu big_in kwani ubao wa kuandikia hausomeki vizuri au labda una matatizo na mach yako? Kwani kuna kitu gani hakisomeki ktk hii issue? Hapa tunaangalia performance na delveries!! Sisi watanzania tumebakia kuangalia eti huyu an Phd au makaratatasi gani au ana elimu gani huu ni UJINGA MTUPU KABISA! Sasa et wewe unauliza elimu ya Lisu ili iweje? Angalia performance yake na deliveries inatosha tu. Watanzania wamechoshwa na Phds za Kariakoo au kupewa eti ni Dr. blaaaaaaaaa kama hao wenzenu. Angalia nchi za wenzenu wanaosonga mbele hawaendi kununua Phds etc. Jiulize hao wanasheria wengine wako wapi? Wamelala wapi wakati mambo yanakwenda kombo? Wanasheria wa katiba wako wapi wengine tunawajua lkn sasa kimya utafikiri wameihama nchi. ni hayo ndugu yangu, kwani njia bado ni ndefu kwa watanzania!
 
Hahaha umenifurahisha
 
Mkuu performance gani ile ya kupiga kelele kwenye majukwaa!mkuu najua njaa yako ndio inasababisha wewe kuona Lisu anafanya vizuri na chuki yako kwe serekali sababu ulikimbia shule bado upo mdogo!
 
Kwani chama chetu hakina mwanasheria wa daraja la kwanza kama yule mchumi wa daraja la kwanza? Hivi mwenezi wetu kasoma nini vile kule kwa kina Amita Bhachani.
 
Back
Top Bottom