kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Sahihi kabisaNilichogundua ni kwamba chadema ilijiandaa muda mrefu sana kwa uchaguzi huu
Kikao kile YouTube kilufuatiliwa na watu 25k kwenye live stream.Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini.
Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020;
1. Alisema, ushindi wa uchaguzi wa mwaka huu haupo kwenye kutiana ujinga wa kauli kama "people's power" au "mheshimiwa Rais umeshinda ukipiga kura, wewe nenda kalale". Aliwaonya kuwa wasitiane ujinga kwa kauli hizi bali, hizi kauli zitolewe tarehe 29/10/2020 baada ya ushindi kwelikweli.
2. Alisema, kuishinda CCM na kuitoa madarakani siyo kazi lelemama maana wana pesa nyingi, CHADEMA haina; mfumo wote wa uchaguzi unawabeba wao; polisi, TISS na NEC iko upande wao. Ndiyo maana ya tukio la kunizuia leo kuja hapa Mlandizi na kunizuia kuendelea na kampeni.
3. Kisha, akasema, kuwa kuishinda CCM ni vita na mapambano serious ya kweli kweli. Ili kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura, kwanza ni lazima uruke vihunzi/vikwazo vyote vya NEC, polisi na wasimamizi wa uchaguzi (DEDs) ambao wote ni makada wa CCM na wapo hapo kupigania maslahi ya chama chao - CCM.
4. Akasema kuwa, wakati wa kushangilia ushindi bado. Kwa sababu kilichopo mbele kwa sasa ndiyo FINAL BATTLE KUUENDEA USHINDI. Kwamba, kushindwa kutenda wajibu wetu kwa KUPAMBANA katika hatua hizi ni KUIPA USHINDI CCM asubuhi tu. Vita iliyoko mbele na ambayo lazima tushinde ni;
å Kuteuliwa na kuapishwa kwa mawakala wetu wote Tanzania nzima.
å Kuhakikisha kuwa mawakala wetu wote wanaingia katika vituo vyote vya kupigia kura.
å Kuhakikisha kuwa mawakala wetu wote wanapewa nakala za fomu za matokeo ya kura za kila kituo kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais kwa kila kituo.
5. Akasema, hili likifanyika nchi nzima kwa ufanisi na ufasaha, hatua ya KUTANGAZA MSHINDI HALALI ni rahisi maana kila mtu atakuwa anajua nani kashinda kwa ushahidi wa fomu za matokeo kutoka kila kituo cha kupigia kura.
Akasisitiza kuwa, HIKI NDICHO AMBACHO CCM na NEC wanataka Kuhakikisha hakitokei na hii ndiyo VITA NA MAPAMBANO tunayosema na NI LAZIMA TUSHINDE YOTE HAYA kwa Kuhakikisha kuwa tunatumia nguvu ya umma na mikakati yetu. Hatuna fedha lakini watu (umma) unatuunga mkono. Tuitumie vizuri nguvu ya umma hii.
6. Alisema, USHINDI katika UCHAGUZI hauko kwenye kujaza NYOMI kwenye mikutano yetu ya kampeni wala ku - shout tu "people's power", bali uko kwenye kusoma makaratasi ya tume ya uchaguzi yanayoelekeza kila hatua ya mchakato wa uchaguzi.
7. Alisikitika kwa kusema kuwa, bahati mbaya wengi wa watu wetu wakiwemo viongozi wakipewa makaratasi ya tume badala ya kuyasoma na kuyaelewa, wao huyatupa kule na kubaki na kauli tu midomoni za kujipa matumaini hewa ya "tumeshinda, tutashinda ama People's power" na kujifurahisha na nyomi ya watu kwenye mikutano ya kampeni na kudhani kuwa huo tayari ni ushindi.
Akasema, huo ni ujinga na kutoelewa. Na hapo ndipo tunapopigiwa na kuibiwa kura zetu na CCM.
8. Alisisitiza kuwa, wizi mwingine upo kwenye mbinu ya kutengeneza VITUO HEWA VYA KUPIGIA KURA.
Akawasisitizia viongozi na wagombea kuwa wahakikishe kuwa wanayo orodha yote ya vituo HALALI vya kupigia kura katika kila KATA na JIMBO la uchaguzi lolote na wavihakiki kuwa ndivyo na vipo kweli.
Na siku ya Kujumuisha matokeo katani ama jimboni kwa msimamizi wa uchaguzi (DED), basi wawe na orodha hiyo iliyotolewa na msimamizi wa uchaguzi huyo huyo ili akitaja kituo ambacho hakipo kwenye orodha rasmi, akamatwe hapo hapo
na kuadhibiwa sawia.
7. Alimaliza kwa kusema, ikifika SAA 2 hadi 6 usiku siku ya tarehe 28/10/2020 mshindi atakuwa ameshajulikana kulingana na fomu za matokeo ya kila kituo ambazo mtakuwa Nazi mikononi mwenu kama ushahidi.
Akasema, hapo unaweza kuanza kushangilia (kama umeshinda kweli) na ruksa kutangaza matokeo yako na wala hilo siyo kosa la jinai.
Akasema, tukifanya haya USHINDI UKO WAZI na CCM kamwe hawawezi Kuishinda popote maana tayari hawana kibali hawa machoni pa umma na Mungu.
Na hii ndiyo maana tunasema, NCHI HII HAITATAWALIKA na HAPATAYOSHA IWAPO mshindi halali hatatangazwa na badala yake atangazwe ambaye hajashinda.
Na ndiyo maana ya kusema, ikitokea hili hapo tutaingiza watu barabarani kudai haki yetu, haki yao ya USHINDI.
Alimaliza Tundu Lissu na kisha akaenda kulala.
Leo ziara Makamu mwenyeki - CHADEMA ndugu Tundu Lissu mkoa wa Pwani majimbo ya Kibaha mjini na vijijini inaendelea.
Upo sahihi kabisa ndio maana Mbowe namuonaga ni opportunist......"mfanya biashara"yupo kwenye class ya cartail ya kutengeneza deal tu na sio kuweka mizizi ya upinzani kwa maandalizi ya kushika dola...Lipo tena kubwa sana, Mbowe hapa ndipo huwa nasema aachie madaraka siyo strategist ata chembe, walitakiwa kuwa wamejenga mtandao wa mawakala nchi nzima na kuwapa mafunzo ya kiitikadi.
Ulishawahi kuwaona wanatembeza bakuli kama wa chama cha Mbowe?.Ruzuku, michango bado bakuli mwatembeza na bado Mijitu inashabikia kama sio utopolo ni nini?. Chama cha Mbowe, ni Moja ya vyama hovyo kabisa kuwahi Kutokea Tanzania.
Wewe unajuaje kwamba patakuwepo "mawakala wa kuungaunga". Unajua ratiba zote za chama?Huo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.
Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Na bado kinawaliza hivi? Nazungumzia "Chama cha Mbowe ni moja ya vyama hovyo kabisa..."Ulishawahi kuwaona wanatembeza bakuli kama wa chama cha Mbowe?.Ruzuku, michango bado bakuli mwatembeza na bado Mijitu inashabikia kama sio utopolo ni nini?. Chama cha Mbowe, ni Moja ya vyama hovyo kabisa kuwahi Kutokea Tanzania.
Hatujuani eeh..! Wewe unaenda na upepo wengine tuko CCM tuko chadema ila tu upande wa haki.Wewe unajuaje kwamba patakuwepo "mawakala wa kuungaunga". Unajua ratiba zote za chama?
Ukiwa na akili hauhitaji hata kutumia nguvu kupata majibu, kwasababu majibu unayo kichwani, Ngoja baada ya tarehe 28/10/2020 uje uwasikie walalamishi watakavyokuja na ujinga mwingine, Ujinga ni mtaji.Ngumu sana kumshinda mtu huyu
Hata uwe malaika
1.Mtu aandae uchaguz
2.posho ya chama chenu awape yeye.
3.mashine za kura anunue yeye
4.karatas za uchaguz aandae yeye
5.mkurugenz wa tume amteue yeye
6.tareh za uchaguz apange yeye
'Indicator nyekundu' ilishawaka kipindi Cha uchaguzi Serikali za Mitaa.Mkuu nilikuwa nakuona umevuka ile tabia ya kujiliwaza na kuogopa kuface "reality" hata kama inaumiza.....hebu toka kwenye comfort zone! kuna kipi kipya kwenye huu uchaguzi?
Hawana wagombea udiwani na ubunge kwenye kata na majimbo mengi tu, lakini wanafikiria kuwa na mawakala eti kila kituo! Ahahahahahahhh! Nacheka kwa huruma!Huo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.
Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Huyu ndo Mwanaume sasaHaya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini.
Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020;
1. Alisema, ushindi wa uchaguzi wa mwaka huu haupo kwenye kutiana ujinga wa kauli kama "people's power" au "mheshimiwa Rais umeshinda ukipiga kura, wewe nenda kalale". Aliwaonya kuwa wasitiane ujinga kwa kauli hizi bali, hizi kauli zitolewe tarehe 29/10/2020 baada ya ushindi kwelikweli.
2. Alisema, kuishinda CCM na kuitoa madarakani siyo kazi lelemama maana wana pesa nyingi, CHADEMA haina; mfumo wote wa uchaguzi unawabeba wao; polisi, TISS na NEC iko upande wao. Ndiyo maana ya tukio la kunizuia leo kuja hapa Mlandizi na kunizuia kuendelea na kampeni.
3. Kisha, akasema, kuwa kuishinda CCM ni vita na mapambano serious ya kweli kweli. Ili kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura, kwanza ni lazima uruke vihunzi/vikwazo vyote vya NEC, polisi na wasimamizi wa uchaguzi (DEDs) ambao wote ni makada wa CCM na wapo hapo kupigania maslahi ya chama chao - CCM.
4. Akasema kuwa, wakati wa kushangilia ushindi bado. Kwa sababu kilichopo mbele kwa sasa ndiyo FINAL BATTLE KUUENDEA USHINDI. Kwamba, kushindwa kutenda wajibu wetu kwa KUPAMBANA katika hatua hizi ni KUIPA USHINDI CCM asubuhi tu. Vita iliyoko mbele na ambayo lazima tushinde ni;
å Kuteuliwa na kuapishwa kwa mawakala wetu wote Tanzania nzima.
å Kuhakikisha kuwa mawakala wetu wote wanaingia katika vituo vyote vya kupigia kura.
å Kuhakikisha kuwa mawakala wetu wote wanapewa nakala za fomu za matokeo ya kura za kila kituo kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais kwa kila kituo.
5. Akasema, hili likifanyika nchi nzima kwa ufanisi na ufasaha, hatua ya KUTANGAZA MSHINDI HALALI ni rahisi maana kila mtu atakuwa anajua nani kashinda kwa ushahidi wa fomu za matokeo kutoka kila kituo cha kupigia kura.
Akasisitiza kuwa, HIKI NDICHO AMBACHO CCM na NEC wanataka Kuhakikisha hakitokei na hii ndiyo VITA NA MAPAMBANO tunayosema na NI LAZIMA TUSHINDE YOTE HAYA kwa Kuhakikisha kuwa tunatumia nguvu ya umma na mikakati yetu. Hatuna fedha lakini watu (umma) unatuunga mkono. Tuitumie vizuri nguvu ya umma hii.
6. Alisema, USHINDI katika UCHAGUZI hauko kwenye kujaza NYOMI kwenye mikutano yetu ya kampeni wala ku - shout tu "people's power", bali uko kwenye kusoma makaratasi ya tume ya uchaguzi yanayoelekeza kila hatua ya mchakato wa uchaguzi.
7. Alisikitika kwa kusema kuwa, bahati mbaya wengi wa watu wetu wakiwemo viongozi wakipewa makaratasi ya tume badala ya kuyasoma na kuyaelewa, wao huyatupa kule na kubaki na kauli tu midomoni za kujipa matumaini hewa ya "tumeshinda, tutashinda ama People's power" na kujifurahisha na nyomi ya watu kwenye mikutano ya kampeni na kudhani kuwa huo tayari ni ushindi.
Akasema, huo ni ujinga na kutoelewa. Na hapo ndipo tunapopigiwa na kuibiwa kura zetu na CCM.
8. Alisisitiza kuwa, wizi mwingine upo kwenye mbinu ya kutengeneza VITUO HEWA VYA KUPIGIA KURA.
Akawasisitizia viongozi na wagombea kuwa wahakikishe kuwa wanayo orodha yote ya vituo HALALI vya kupigia kura katika kila KATA na JIMBO la uchaguzi lolote na wavihakiki kuwa ndivyo na vipo kweli.
Na siku ya Kujumuisha matokeo katani ama jimboni kwa msimamizi wa uchaguzi (DED), basi wawe na orodha hiyo iliyotolewa na msimamizi wa uchaguzi huyo huyo ili akitaja kituo ambacho hakipo kwenye orodha rasmi, akamatwe hapo hapo
na kuadhibiwa sawia.
7. Alimaliza kwa kusema, ikifika SAA 2 hadi 6 usiku siku ya tarehe 28/10/2020 mshindi atakuwa ameshajulikana kulingana na fomu za matokeo ya kila kituo ambazo mtakuwa Nazi mikononi mwenu kama ushahidi.
Akasema, hapo unaweza kuanza kushangilia (kama umeshinda kweli) na ruksa kutangaza matokeo yako na wala hilo siyo kosa la jinai.
Akasema, tukifanya haya USHINDI UKO WAZI na CCM kamwe hawawezi Kuishinda popote maana tayari hawana kibali hawa machoni pa umma na Mungu.
Na hii ndiyo maana tunasema, NCHI HII HAITATAWALIKA na HAPATAYOSHA IWAPO mshindi halali hatatangazwa na badala yake atangazwe ambaye hajashinda.
Na ndiyo maana ya kusema, ikitokea hili hapo tutaingiza watu barabarani kudai haki yetu, haki yao ya USHINDI.
Alimaliza Tundu Lissu na kisha akaenda kulala.
Leo ziara Makamu mwenyeki - CHADEMA ndugu Tundu Lissu mkoa wa Pwani majimbo ya Kibaha mjini na vijijini inaendelea.
LOooo, ni wewe hasa, 'sharp, precise and to the point'!Nani asiyemjua Lissu hadi uhangaike kuchapisha makaratasi ? ni wapi uliona picha ya Mtume Muhammad , lakini mbona kila siku waislam wanamtaja ?
Wewe kweli ni 'bigmind'?Hatujuani eeh..! Wewe unaenda na upepo wengine tuko CCM tuko chadema ila tu upande wa haki.
Itakuta hata Lisu na team yake yote wana akili kama hizi hiziNani asiyemjua Lissu hadi uhangaike kuchapisha makaratasi ? ni wapi uliona picha ya Mtume Muhammad , lakini mbona kila siku waislam wanamtaja ?
Nawwe unafurahiaHahahah..! Huwajui vizuri CCM rafiki yangu..! Ni maharamia kuliko unavyoweza KUDHANI. Ata wale waangalizi wanapewa pesa kukaa kimya.
2010 zanzibar wanaangalizi wa ndani walipewa pesa nyingi mno wakaachana na kutoa taarifa kwa walio watuma.
Utofauti wake ni upi?
umeeandikaaaaaaa.gazetiHaya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini.
Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020;
1. Alisema, ushindi wa uchaguzi wa mwaka huu haupo kwenye kutiana ujinga wa kauli kama "people's power" au "mheshimiwa Rais umeshinda ukipiga kura, wewe nenda kalale". Aliwaonya kuwa wasitiane ujinga kwa kauli hizi bali, hizi kauli zitolewe tarehe 29/10/2020 baada ya ushindi kwelikweli.
2. Alisema, kuishinda CCM na kuitoa madarakani siyo kazi lelemama maana wana pesa nyingi, CHADEMA haina; mfumo wote wa uchaguzi unawabeba wao; polisi, TISS na NEC iko upande wao. Ndiyo maana ya tukio la kunizuia leo kuja hapa Mlandizi na kunizuia kuendelea na kampeni.
3. Kisha, akasema, kuwa kuishinda CCM ni vita na mapambano serious ya kweli kweli. Ili kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura, kwanza ni lazima uruke vihunzi/vikwazo vyote vya NEC, polisi na wasimamizi wa uchaguzi (DEDs) ambao wote ni makada wa CCM na wapo hapo kupigania maslahi ya chama chao - CCM.
4. Akasema kuwa, wakati wa kushangilia ushindi bado. Kwa sababu kilichopo mbele kwa sasa ndiyo FINAL BATTLE KUUENDEA USHINDI. Kwamba, kushindwa kutenda wajibu wetu kwa KUPAMBANA katika hatua hizi ni KUIPA USHINDI CCM asubuhi tu. Vita iliyoko mbele na ambayo lazima tushinde ni;
å Kuteuliwa na kuapishwa kwa mawakala wetu wote Tanzania nzima.
å Kuhakikisha kuwa mawakala wetu wote wanaingia katika vituo vyote vya kupigia kura.
å Kuhakikisha kuwa mawakala wetu wote wanapewa nakala za fomu za matokeo ya kura za kila kituo kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais kwa kila kituo.
5. Akasema, hili likifanyika nchi nzima kwa ufanisi na ufasaha, hatua ya KUTANGAZA MSHINDI HALALI ni rahisi maana kila mtu atakuwa anajua nani kashinda kwa ushahidi wa fomu za matokeo kutoka kila kituo cha kupigia kura.
Akasisitiza kuwa, HIKI NDICHO AMBACHO CCM na NEC wanataka Kuhakikisha hakitokei na hii ndiyo VITA NA MAPAMBANO tunayosema na NI LAZIMA TUSHINDE YOTE HAYA kwa Kuhakikisha kuwa tunatumia nguvu ya umma na mikakati yetu. Hatuna fedha lakini watu (umma) unatuunga mkono. Tuitumie vizuri nguvu ya umma hii.
6. Alisema, USHINDI katika UCHAGUZI hauko kwenye kujaza NYOMI kwenye mikutano yetu ya kampeni wala ku - shout tu "people's power", bali uko kwenye kusoma makaratasi ya tume ya uchaguzi yanayoelekeza kila hatua ya mchakato wa uchaguzi.
7. Alisikitika kwa kusema kuwa, bahati mbaya wengi wa watu wetu wakiwemo viongozi wakipewa makaratasi ya tume badala ya kuyasoma na kuyaelewa, wao huyatupa kule na kubaki na kauli tu midomoni za kujipa matumaini hewa ya "tumeshinda, tutashinda ama People's power" na kujifurahisha na nyomi ya watu kwenye mikutano ya kampeni na kudhani kuwa huo tayari ni ushindi.
Akasema, huo ni ujinga na kutoelewa. Na hapo ndipo tunapopigiwa na kuibiwa kura zetu na CCM.
8. Alisisitiza kuwa, wizi mwingine upo kwenye mbinu ya kutengeneza VITUO HEWA VYA KUPIGIA KURA.
Akawasisitizia viongozi na wagombea kuwa wahakikishe kuwa wanayo orodha yote ya vituo HALALI vya kupigia kura katika kila KATA na JIMBO la uchaguzi lolote na wavihakiki kuwa ndivyo na vipo kweli.
Na siku ya Kujumuisha matokeo katani ama jimboni kwa msimamizi wa uchaguzi (DED), basi wawe na orodha hiyo iliyotolewa na msimamizi wa uchaguzi huyo huyo ili akitaja kituo ambacho hakipo kwenye orodha rasmi, akamatwe hapo hapo
na kuadhibiwa sawia.
7. Alimaliza kwa kusema, ikifika SAA 2 hadi 6 usiku siku ya tarehe 28/10/2020 mshindi atakuwa ameshajulikana kulingana na fomu za matokeo ya kila kituo ambazo mtakuwa Nazi mikononi mwenu kama ushahidi.
Akasema, hapo unaweza kuanza kushangilia (kama umeshinda kweli) na ruksa kutangaza matokeo yako na wala hilo siyo kosa la jinai.
Akasema, tukifanya haya USHINDI UKO WAZI na CCM kamwe hawawezi Kuishinda popote maana tayari hawana kibali hawa machoni pa umma na Mungu.
Na hii ndiyo maana tunasema, NCHI HII HAITATAWALIKA na HAPATAYOSHA IWAPO mshindi halali hatatangazwa na badala yake atangazwe ambaye hajashinda.
Na ndiyo maana ya kusema, ikitokea hili hapo tutaingiza watu barabarani kudai haki yetu, haki yao ya USHINDI.
Alimaliza Tundu Lissu na kisha akaenda kulala.
Leo ziara Makamu mwenyeki - CHADEMA ndugu Tundu Lissu mkoa wa Pwani majimbo ya Kibaha mjini na vijijini inaendelea.
Wajinga mko wengi unaijua Mbowe alikoita Chadema mpaka kuwa hapo au ndio mnamiliki vichwa kama masanduku yakubebea meno sio kufikiri! wewe umesaidia nini kukuza democracy ya Nchi hii ikiwa hata jina humu unatumia bandiaUpo sahihi kabisa ndio maana Mbowe namuonaga ni opportunist......"mfanya biashara"yupo kwenye class ya cartail ya kutengeneza deal tu na sio kuweka mizizi ya upinzani kwa maandalizi ya kushika dola...
Kosa lipi hilo ccm tunalifanya ?Pia kuna kosa moja la kiufundi ambalo ccm wanalifanya na naamini bado hawalijui hata sasa tena kwa ccm hii ya Meko asiyejua 'mbinu za ushindi' za ccm na kawatupa 'wakongwe' ndiyo kabisa.
Hii mbinu Lissu anaijua vema na aliitumia tangu 2010 kudhibiti mawakala kununuliwa, pale ndio nilijua Lissu ni mafia, yaani anatumia mbinu zao wenyewe kuwaangamiza.
Bigmind hata uandishi unakupa shidaHatujuani eeh..! Wewe unaenda na upepo wengine tuko CCM tuko chadema ila tu upande wa haki.