Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

Ukiwa na akili hauhitaji hata kutumia nguvu kupata majibu, kwasababu majibu unayo kichwani, Ngoja baada ya tarehe 28/10/2020 uje uwasikie walalamishi watakavyokuja na ujinga mwingine, Ujinga ni mtaji.
Mjinga ni wewe unayemsusia minofu fisi ukidhani unamkomoa, pumbavu kabisaaaa
 
Wajinga mko wengi unaijua Mbowe alikoita Chadema mpaka kuwa hapo au ndio mnamiliki vichwa kama masanduku yakubebea meno sio kufikiri! wewe umesaidia nini kukuza democracy ya Nchi hii ikiwa hata jina humu unatumia bandia
Ki msingi huyo ni wakala wa maccm anayejaribu kuwachimba wapinzani
 
Alisema, USHINDI katika UCHAGUZI hauko kwenye kujaza NYOMI kwenye mikutano yetu ya kampeni wala ku - shout tu "people's power", bali uko kwenye kusoma makaratasi ya tume ya uchaguzi yanayoelekeza kila hatua ya mchakato wa uchaguzi
 
Hahahah..! Huwajui vizuri CCM rafiki yangu..! Ni maharamia kuliko unavyoweza KUDHANI. Ata wale waangalizi wanapewa pesa kukaa kimya.

2010 zanzibar wanaangalizi wa ndani walipewa pesa nyingi mno wakaachana na kutoa taarifa kwa walio watuma.
Umewahi kushiriki zoezi la uchaguzi kwa ngazi yoyote?

Me siongei nadharia, nimeshiriki kufanikisha ulinzi wa ushindi kwa chaguzi kadhaa.
 
Wajinga mko wengi unaijua Mbowe alikoita Chadema mpaka kuwa hapo au ndio mnamiliki vichwa kama masanduku yakubebea meno sio kufikiri! wewe umesaidia nini kukuza democracy ya Nchi hii ikiwa hata jina humu unatumia bandia
Wajingawa wapo wengi ukiongoza ww....kichwa yako ni nyeupe kama kunduz...
 
Ngumu sana kumshinda mtu huyu
Hata uwe malaika

1.Mtu aandae uchaguz
2.posho ya chama chenu awape yeye.
3.mashine za kura anunue yeye
4.karatas za uchaguz aandae yeye
5.mkurugenz wa tume amteue yeye
6.tareh za uchaguz apange yeye
Vile vile hakuna hata mtu mmoja, aliyeamini enzi zile katika "story" za kibiblia, kuwa kijana mdogo Daudi, atamshinda yule jabali la kivita Goliath...............

Lakini kilichotokea sisi sote wasomaji wa Biblia tunakijua.

Ni kwa kijana yule mdogo kabisa Daudi kumshinda yule mbabe wa kivita Goliath, kwa uweza wa Mungu!

Hata hii vita ya uchaguzi huu, Tundu Lissu hapambani peke yake, bali anaye Bwana Mungu anayempigania na bila shaka atapata USHINDI WA KIMBUNGA, usiotegemewa na watanzania walio wengi!
 

Kutakuwepo na kundi la wahuni watakao pora fomu za matokeo kutoka kwa mawakala KUWENI MAKINI KWA HILO PIA
 
Ni dhahiri kuwa Lissu ameanza kutambua kuwa hawezi kushinda uchaguzi.
 
Ulishawahi kuwaona wanatembeza bakuli kama wa chama cha Mbowe?.Ruzuku, michango bado bakuli mwatembeza na bado Mijitu inashabikia kama sio utopolo ni nini?. Chama cha Mbowe, ni Moja ya vyama hovyo kabisa kuwahi Kutokea Tanzania.
We uko wapi mkuu, huku nilipo kila siku wanakuja tena kwa kulazimisha kuchangiwa, wanashindwa hata kufanya kampeni hawana hela Meko kajihudumia peke yake.

Bora hata hao CDM wanaomba kuchangiwa kwa hiari na watu wanatoa, ccm na vitisho juu.
 
Hawana wagombea udiwani na ubunge kwenye kata na majimbo mengi tu, lakini wanafikiria kuwa na mawakala eti kila kituo! Ahahahahahahhh! Nacheka kwa huruma!
Kwani unaelewaje maana ya wakala?

Chama chenye mgombea urais pekee kinaruhusiwa kuweka mawakala nchi nzima kwa sababu mgombea urais ana maslahi katika kila kituo.
 
Kutakuwepo na kundi la wahuni watakao pora fomu za matokeo kutoka kwa mawakala KUWENI MAKINI KWA HILO PIA
Kwenye uchaguzi wa 2015 ulisikia tukio hilo limejitokeza popote?
 
Kwani unaelewaje maana ya wakala?

Chama chenye mgombea urais pekee kinaruhusiwa kuweka mawakala nchi nzima kwa sababu mgombea urais ana maslahi katika kila kituo.
Hujaelewa nilichoandika. Ila ahsante kwa kujaribu.
 
Jamaaa anaakili mara 1000000 kumzidi magu aseee. Yani alivyodadavua kama kweli vikatekelezwa, magufuli ajiandaye kufungasha virago na kwenda kwao ( nje ya Tanzania)
Wewe ndiye unayasikia haya leo, Yalikuwa yanafahamika tokea miaka 20 iliyopita, Viongozi wako walikuwa wanayajua. Hebu Jiulizeni mbona viongozi wenu walioko Dar, hawakujitokeza jana kuwa pamoja na Lissu.
 
Nafikiri katiba za nchi za kiafrika zimewapa viongozi madaraka makubwa sana hadi kujiona ni miungu, akiingia ahakikishe ndani ya siku 100 anafufua mchakato wa katiba.
 
Nani asiyemjua Lissu hadi uhangaike kuchapisha makaratasi ? ni wapi uliona picha ya Mtume Muhammad , lakini mbona kila siku waislam wanamtaja ?
European Union Delegation : Magufuli to win this election by 82%, Chadema -Tundu Lissu 14% other parties 4%.
This survey was conducted by staffs of European Union Delegation who was on the ground running the programme supervised by Kohen. It has been issued today.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…