Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

Huo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.

Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Kwa hiyo wewe unafurahia udhalimu?ama kweli mbogamboga ni laana kwa Taifa la Tanzania
 
Nilikuwa nasema na wajinga tu, wala sijakutaja.

Magufuli wako hana uwezo wa kushinda kwa kura kwa halali. Muulize kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi kama ana uwezo wa kushinda kwa kura halali?. Kwanini anaengua wapinzani?.
Kwanini kwenye mikutano yake anatumia wasanii,kusomba watu, kufunga mashule ili ajaze uwanja?. Why?
 
Akili kubwa hii.
 
CHADEMA wajipange kabisa... Maana wanatengeneza flame work ambazo hazitekelezeki wakipewa nchi..hawana tofauti na yule wa Zanzibar waliyemuunga mkono eeebwana eti mishahara kima cha chini 1m. Then mitumbwi ya kuvulia samaki zitakuja viyoyozi na tv...ilibidi nihamishe channel
 
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa kwa sababu CCM is the best part.
Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa kwa sababu CCM is the best part.
Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Meko wako hana uwezo wa kushinda kwa kura kwa halali. Muulize kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi kama ana uwezo wa kushinda kwa kura halali?. Kwanini anaengua wapinzani?.

Kwanini kwenye mikutano yake anatumia wasanii,kusomba watu, kufunga mashule ili ajaze uwanja?. Why?
 
Nani asiyeijua Coca Cola au Pepsi, kwanini kila ujao wanachapicha mabango na matangazo ya TV, radio kila kona....Uliza watu wa marketing kuwa kwanini kuna kujitangaza hata kama unafahamika kama CCM?

Wewe uliisha ona wapi mabango ya pepsi na coca cola yanabanduliwa? Bendera tu zinashushwa na kutupwa sembuse mabango?
 
Kama mbunge wa chadema ananunuliwa itakuwa wakala!! Laana ya kununuliwa mliyonayo na bila aibu mnajitangaza kuwa wanachama wenu wananunuliwa kamwe haitawaacha salama. Kenge nyie

UKIISEMA VIBAYA CDM UNAFUNGIWA JF.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukweli mchungu. Kuilinda Demokrasia iki lazma utakufa. Sio jambo lele mama.
 
Ukikaza sana akili na kuamini utopolo utaishia kusema unaonewa kama mnavyodai hakuna time huru ikiwa si kweli.

2. Muziki ni sanaa inayotumika kufikisha ujumbe kwa hadhira. Wasanii ni wananchi, wasanii ni wana uhuru wa kushiriki katika shughuli za kisiasa. Bado sijaona point ya msingi hapa

Mbona chadema 2015 walikua na band waliyozunguka nayo kwenye kampeni zao. Baada ya dhuluma na migogoro kutokea walijikuta wanagawanyika, je wamekueleza hilo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Lissu amekuwa kama yuke Mbuu msumbufu, na vikelele vyaje vya zzzzzzz, kila ukimfukuza , anarudia palepale, mpaka nwisho unakasirika unachukua pifpaf unapiga chumba kizima, naye anaaunguka na mwepesi hata upepo unamyumbisha
 
Lissu anasema Ataingiza watu barabarani? Yeye atakuwa wp muda huo? Wanasiasa kweli ni nyoko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…