Uchaguzi 2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

Mdaa huu huko Zanzibar ACT Wazalendo wanakinukisha ni mwendo wa mabomu ya machozi na mawe inasemekana baadhi ya polisi wamekimbia battle.
 
..agenda ya uchaguzi huu ni HAKI.

..Na mgombea anayesimamia HAKI ni Tundu Antiphas Lissu.

..Kura zote kwa Tundu Lissu.

 
Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
 
Sisituna habari kuwa Jiwe tayari anazo habari za imtelingisia wake kuwa Kama NEC watafanya haki basi ataambulia 30%.

Wamwambia ujio wa Lissu umebadili mwamko wa Watanzania.
Hataki kusikia hizo habari na sasa mikakati iko mbioni kutangaza matokeo nila kuhesabu kura.
Anajua kuwa watanzani
a wamemkataa
 
Unajua kuna wakati naanza kuamini kwamba CCM kuna aina ya binadam hawana ubongo

Sasa inakuwaje CCM wanajihakikishia ushindi
 
Huyo jamaa anajikuta mjuaji sana,kumbe kilaza tu.Wakumpuuza tu.
'Avatar' yangu hapa na 'Signature' yangu vyote kwa ujumla wake 'vinasadifu' uwezo nilionao ambao Mwenyezi Mungu na 'Juha' Wewe akakunyima.
 
Mdaa huu huko zanzibar act wazalendo wanakinukisha ni mwendo wa mabomu ya machozi na mawe inasemekan baadhi ya polisi wamekimbia battle
Endeleeni tu 'Kuvichokoza' na 'Kuvipima' Vikosi vya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania ila wakijibu 'Mapigo' msikimbilie tu kwa Mabwana zenu Ulaya.
 
Kirefu cha CNN ni nini? Tuanzie hapo Kwanza ili nijue kama 'Kichwani' mwako Kumetimia au kuna 'Siafu' tu kama si 'Mchwa' na 'Sisimizi' kabisa!!!!
Kwa hiyo wewe mhutu unapima utimamu wa mtu kuchwani kwake kwa kuweza kujua kirefu cha CNN!!
Kweli kuwa mwana mbogamboga lazima ubongo unyofolewe.
 
Uchaguzi ushaisha ( Hakuna mpinzani mwenye hoja) watu tunawaza hapo za lini Magufuli anaapishwa.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Endeleeni tu 'Kuvichokoza' na 'Kuvipima' Vikosi vya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania ila wakijibu 'Mapigo' msikimbilie tu kwa Mabwana zenu Ulaya.

..kina mama nao wanampenda Tundu Lissu.

..wanaimba nyimbo nzuri kwa Tundu Lissu.

..Watu hawampendi na hawana furaha mahali alipo Magufuli.

 
Kwa hiyo wewe mhutu unapima utimamu wa mtu kuchwani kwake kwa kuweza kujua kirefu cha CNN!!
Kweli kuwa mwana mbogamboga lazima ubongo unyofolewe.View attachment 1613110
Ninadhani huyo 'Mhutu' unayemjua Wewe atakuwa ni 'Basha' wako ila Mimi ninavyojijua ni 'Mtutsi' ambaye nina 'Akili' kuliko 'Koo' zako zote Mbili.
 
'Avatar' yangu hapa na 'Signature' yangu vyote kwa ujumla wake 'vinasadifu' uwezo nilionao ambao Mwenyezi Mungu na 'Juha' Wewe akakunyima.
Soma vizuri ulicho andika hapo wewe mama,ndio utajijua umropokaji tu.Watu wanakuchora tu na uropokaji wako...Kuna muda tunakuona kituko tu
 
Ninakuonya mapema tu 'Usithubutu' kutaka Kufanya 'Fujo' kwani kuna 'Kikosi' nimekiona kinafanya 'Mazoezi' ya 'Hatari' kukabiliana kabisa na nyie.
Sawa wacha tujiandae kutimiza haki yetu ya kikatiba ya kuandamana, kama ilivyo haki ya kikatiba ya matokea ya rais kutokupingwa mahakamani hata kama ni ya dhuruma. By the way nimepokea ushauri wako japo wa kijinga lakini naupokea.
 
..safari hii mpaka wazee wanamtaka Tundu Lissu.

..Magufuli akubali matokeo, wananchi wamemchoka.

JokaKuu, eti polisi wanafanya mazoezi ya kuwapiga wananchi wao! Ni dunia ya karne gani unakuta afande wa polisi anatamba mbele ya camera akitishia kuwapa wananchi kipigo cha mbwa koko! Ni Tanzania tu. Hebu tazama ufedhuli huu wa wana usalama wetu...

Your browser is not able to display this video.

Kwa nini asiseme tutawakamata badala ya tutawapa kipigo cha mbwa koko? Hivi huyu polisi anajua anavyojishtaki?
Hivi hawa ndivyo wanavyofundishwa kweli au ni ushamba na ulimbukeni!​
 
Si mnalazimisha kutawala eeh??? Sasa nakwambia Magufuli, Siro na Mabeyo hawaponi arrest warrant za ICC mwaka huu. Pemba usiku huu mmeshaua wawili. Wiki hii mtatuua wote Ila tumegoma kuwa makondoo wa Ccm. Imetosha
Unaijua ICC wewe au una bwabwaja tu! Ndo anavyo wadanganya huyo Mbelgiji wenu
 
Serikali ya vitisho mpaka vyombo vya habari hawatangazi habari za Lissu, Dawa ni moja tu road ndio suruhisho la Tanzania na Zanzibar. Hakuna haki inakuja kiulaini laini, Wacha tujiandae.
Ni Bora hii mara Mia zaidi kuliko Sheria za kijinga za ushoga
Hatuwezi kukubali kuwa na kiongozi atakayeongoza kutupeleka kwenye hasira ya Mungu sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…